DJ Fetty na DJ Muli B wa Clouds FM Wanaswa Katika Mapozi ya Kimahaba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MTANGAZAJI wa Clouds FM, Fatuma Hassan ‘DJ Fetty’ na DJ Muli B, wamenaswa wakiwa kwenye pozi la mahaba huku tena wakiwa wamejisahau utadhani mume na mkewe.

shu hiyo ilitokea Agosti 17, Mwaka huu ndani ya Uwanja wa Kahama, ambapo walienda kwa ajili ya kutazama burudani za Serengeti Fiesta 2014 zilizokuwa zikifanyika siku hiyo.

Wakiwa nyuma ya jukwaa, wawili hao walionekana kubebana wakati wamekaa jambo lililowafanya baadhi ya wasanii waliokuwa nyuma yao kukonyezana na wengine kuulizana maswali ambayo hayakuwa na majibu kama ni wapenzi au laa.

Paparazi wetu apowauliza kama wana uhusiano wowote, wawili hao walikanusha na kusema wamepozi kama mtu na mfanyakazi mwenzake Clouds FM.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mmeaza na nyie watu wajikali nyie msema kanaswa kama mmeishiwa udaku semeni ni wapatie

    ReplyDelete
  2. cjaona pozi la mahaba hapo acha udaku mbeya mkumbwa weeeeeeee

    ReplyDelete
  3. Kwa kwel ni mbeya kufa

    ReplyDelete
  4. mmeishiwa story

    ReplyDelete
  5. Bila umbea hamli,tunajua,ila kwa hapa mmelamba galasa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. haaaaaaaaaaaaaaa,nimecheka.

      Delete
  6. kwan wakitembea tatizo liko wapi? hamna mwenye ndoa hapo..acha wale ujana

    ReplyDelete

Top Post Ad