Miss Tanga Azua Timbwili, Ataka Kuzichapa Kavu Kavu Kisa Ali Kiba

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MISS Tanga 2011, Zubeida Seif ametaka kuzichapa kavukavu na mwenzake aliyefahamika kwa jina moja la Kelly kisa kikiwa ni mkali wa wimbo wa Mwana, Ali Saleh Kiba.

Tukio hilo lililoacha watu midomo wazi lilitokea juzikati katika baa moja iliyopo maeneo ya Mwenge, Dar ambapo ubishi ulianza baada ya Zubeydah  kutetea kuwa Ali Kiba anajua kuimba kuliko Nasibu Abdul ‘Diamond’ huku mwenzake akimpinga ndipo mtiti ulipoibuka.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Cju kutafta kik au nyege... mptuuuuu!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad