Mwigulu Nchemba: Nimeombwa Kugombea Urais 2015

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kupigana vikumbo kuwania urais wa 2015, Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, amesema ameombwa na watu mbalimbali wakiwamo wazee na wasomi kuwania nafasi hiyo.

Hata hivyo, Nchemba amesema kwa sasa hafikirii suala hilo kwani amebanwa na utekelezaji wa jukumu alilokabidhiwa na Rais.

Nchemba, ambaye pia ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara, aliyasema hayo jana wakati akihojiwa na kituo kimoja cha televisheni nchini.
Alisema amekuwa akipokea ujumbe mwingi kutoka kwa wazee wa kijiji cha Butiama, mkoani Mara na kutoka kwa vijana wa vyuo vikuu wakimuomba awanie urais mwaka 2015, lakini suala hilo haliwekei umuhimu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. itakuwa vizuri sana kwa watanzania kama cccmmm watakusimamisha, maanake upenzani utashinda kirahisi, tunaomba iwe hivyo!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unaota saa sita mchana,
      ndoto za mchana wengi huwa wanaamini wanachokiota kuwa kweli.

      Delete
  2. utatusha...na ukipata wapinzani watakoma.kwenye bunge tu unawakimbiza,ukiwa rais watakuloga.ila mi ntakuchagua

    ReplyDelete
  3. ndoto hizooo!!! labda wapiga kura wote wawe wendawazimu!!

    ReplyDelete

Top Post Ad