AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Katika kuonesha ukaribu na vijana na utayari wa kutoa msaada wa hali na mali, Mbunge wa Kigoma Kasikazini Mh Zitto Zuber Kabwe amemtungia mashairi msanii wa muziki wa Bongo fleva hapa Tzee Linex Sunday Mjeda, ambaye kwa sasa kitaa anahit na single ya ‘Honga honga’.
Ngoma aliyotungiwa na Mh Zitto inategemea kutoka hivi karibuni pamoja na video yake inayo kwenda kwa jina la ‘Wema kwa Ubaya’ ngoma ambayo imetengenezwa na Maproducer 3 Mo fire Monagangstar &Tuddy Thomas. Video imetayarishwa na Adam Juma. linex amedhibitisha hilo leo wakati mwandishi wa BK alipo mcheki hewani “Nikweli wimbo wa ‘Wema Na Ubaya’ kuna mashairi kanitungia Mh Zitto Kabwe na itatoka na video yake hivi karibuni”
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Badala ya kutunga wimbo wa kuimarisha kilimo anatunga za mipasho alafu wapambe mnamsifia huyo zitto kwa lipi? La kuvunda halina ubani,zitto amejimaliza mwenyewe,ccm sasa hivi wanahangaikia UKAWA hawana habari na ACT ya zitto
ReplyDeleteAmepotea huyo
Deletewaige mfano gani? USALITI? au tamaa ya fedha?
ReplyDelete