Audio: Diamond Aonjesha Kipande cha Wimbo wake Ambao Haujatoka ‘Nitampata wapi’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ni mara nyingi Diamond Platnumz huwa anasema kuwa ana nyimbo nyingi sana alizoisha rekodi na bado anaendelea kurekodi kila kukicha, lakini sio nyimbo zote alizonazo zitapata nafasi ya kutoka kama official singles.

Kupitia Instagram yake hit maker wa ‘Number 1’ ameamua kuwaonjesha kidogo mashabiki wake wimbo mmoja ulioko kwenye maktaba yake.

“wakati Mwingine natamanigi hata mngepata dakika moja tu ya kuskia nyimbo nilizo nazo ndani, … hii inaitwa #Nitampata_wapi? sjui kina @babutale wataitoa lini… maana haipo kabisa katika list ya nyimbo zitolewazo… ila, kwakuwa nyie ni watu wangu wa nguvu nimeamua kuwaibia kidoogo, sjui watanimind!#GermanyWeekEnd.” – Diamond
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona nyimbo zake zote zinafanana

    ReplyDelete
  2. huyu kafanya nini ujermani,,,,sijaisoma vizuri

    ReplyDelete
  3. jamaniiii nime google sign za vidole anazozitoaga domo ni za wavaa suti.duuuu hiii ni hatariiii,mpaka naogopa.

    ReplyDelete
  4. Hii Ngoma kali sana! Nnna hamu ya kusikiliza kila dakida yaani.....Good Job Diamond Plutnumz....

    ReplyDelete
  5. wacha atupe mambo .....ni bonge la ngoma

    ReplyDelete

Top Post Ad