AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kupitia Instagram Diamond amethibitisha kwa kuandika:
“YES!!!! STUTTGART GERMANY!!! on this 20th of September 2014… kiukweli nilisikitishwa sana na kilichotokea last time Stuttgart… lakini baada ya kugundua kuwa pia lilikuwa ni kosa la mtu mwingine na si promotter kama nilivyodhani, yaani Brittis Events… ndipo tulipoamua na kuwaletea Burudani hii Mashabiki zetu pendwa wa Stuttgart….hakikisha ufikapo unapendeza zaidi maana kama ujuavyo safari hii Vyombo vyote vya habari ndani na nje ya nchi vitakuwa pale kwa RedCarpet…. kiingilio ni BUREEEEEE!!!… tafadhariwambie na wenzio wa nchi za karibu…#NORWAY #HOLLAND #SWITZLAND #BELGIUM #SWEEDEN na kadharika!!!!”
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
Uwe mwangalifu Diamond! Shoo ya bure katika kumbi gani ya kuweza kuchukua kila mtu? halafu nani kakwambia itakuwa bure kabisa. Bure wewe uliyelipwa bila kufanya shoo?? Lakini gharama bado zipo tena za ukumbi Dj ulinzi nk. If the show was delayed because you wanted your pay upfront kiini cha makoza ni wewe...yule jamaa anaweza kukufanya mbaya... just saying!! Wee ungerudisha hela na kule usiende mpaka kupoe na kesi ya yule bwana iwe imeisha. Tena hana hata insurance ya kulipia uharibifu.. itachukua muda. Stay away from trouble sio kama waTZ wanaojua kusamehe na kusahau haraka hiyo kabila ingine mwanangu!!!
ReplyDeleteTAKE CARE D
ReplyDeleteUngekuwa unashaurika domo ungefanyia kazi ushauri WA mdau WA kwanza! Acha kabisa domo me c shabiki Wako lakini napenda nizidi kukuckia upo na afya na amani PIA! Achana na hiyo show inaweza kukuletea matatizo, unajuaje kama hasira zao zimekwisha? Na show yenyewe ya bure c itakuwa na wahuni watupu? Kuwa mwangalifu Sana mama yko bado anakuitaji na watanzania pia. Acha acha kabisa mdogo wangu.
ReplyDeleteShule nzuriiii,eti show bureeeee we una Akili kweli????umeme,maji,heater,kulipa madj,ulinzi nk nani atalipa?usidanganye wajingaWajinga Wa bongo wasioelewa technology,
ReplyDeleteUnasafirisha.
ReplyDeleteKama ujawahi nyonyolewa vuzi bila kiwembe Haya,walisema watakutengua uboho polisi wamekusitiri.unarudi tena,au unadili la chini ya kapeti?
ReplyDeleteau zile vurugu zilikuwa za kutengenezwa kutafutia kiki?
ReplyDelete