Irene Uwoya: Sipendi Wanaume Wanene au Wenye vitambi maana ni wachovu Kitandani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Star wa filamu za  kibongo, Irene Uwoya anadaiwa hana mzuka kabisa wa kutoka kimapenzi  na wanaume wanene au wenye vitambi kwa madai si lolote kitandani wanaishia kuhema hema tu.
Inadaiwa kuwa Uwoya anapenda wanaume wasio wanene, wenye miili ya kimazoezi na wasio na vitambi kwa madai wako vizuri sana kunako sita kwa sita na mwenyewe huvutiwa nao sana. Chanzo kimoja kutoka kambi ya Uwoya kikizungumza jana kilisema:
  
“Wanaume wengi wakiwemo wenye pesa zao wamekuwa wakimsumbua Uwoya , yeye hana muda nao  maana  sio type yake. Anapenda wanaume wenye vifua vya mazoezi na wasio na vitambi, yeye anaona wenye vitambi na wanene hawawezi gwaride la sita kwa sita”.

Hata hivyo Uwoya hakupatikana kuzungumzia  suala hilo lakini takribani mwezi sasa alipohojiwa na jarida moja linalotoka kwa mwezi mara mbili alisema kuwa hapendi wanaume wanene linapokuja suala la mahausiano ya kimapenzi.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani nashindwa kuelewa,hivi mtu lazima ujibu kila unaloulizwa na mwandishi?
    Kwa huyu dadangu Irene kujibu hivyo,ni ukosefu wa nidhamu, au umalaya wa kupitiliza,
    au akili mbovu,au kitu gani sijui.

    ReplyDelete
  2. Sasa ww naye hapo ukosefu wanidham uko wapi mana kila mtu anasteam yake ya vitu anavyopenda kama wanaume kuna wanaopenda wanawake wenye makalio makubwa na kuna ambao wanapenda wanawake wembamba na kuna ambao wanapenda wanawake weupe nakunawaopenda wanawake weusi kila mtu anafreedom kusema anachopenda, tena mm ndo napenda wanaume wembamba wenye vifua vya gym akikubeba yule unaona raha zote dunian wa vitambi hawako sexy. Who wanna fuck janaume limetepweta kula kula ovyo mwanaume gym. Asante irene yan ww namm hapa hakuna tofauti. Sasa ww uliyecomment hapo juu kama unakitambi bora uanze gym. Ni hayo tu

    ReplyDelete
  3. aarrgh kitambi kwani mimi nakibeba c ni chake lol bora asiwe andunje tuu!

    ReplyDelete
  4. Mmmenifurahsha wadau teh

    ReplyDelete
  5. Kitambi dooh nahisi kitanibana mipia sitaki

    ReplyDelete
  6. mtoto mapaja laiinnniiii!!! kmamke walai!!! anayemgonga huyu anafaidi ile mbaya!!

    ReplyDelete
  7. kwan mapaja ndo yanayogongwa?

    ReplyDelete

Top Post Ad