Kikwete Asalimu Amri Kwa Ukawa, Wakubaliana Kurekebisha Katiba iliyopo! Katiba Mpya Hadi Baada ya 2015

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Cheyo anasema wamekubaliana na Jakaya Kikwete kuwa Bunge lirekebishe Katiba Iliyopo. Aidha, anasema wamekubaliana marekebisho yaruhusu Matokeo ya Urais yaweze kuhojiwa Mahakamani na kuwepo na Mgombea Binafsi uchaguzi 2015

Hivyo basi Mchakato wa Katiba Mpya utaendelea baada ya uchaguzi 2015!
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii,mimi nalia na mahela yetu walala hoi.

    ReplyDelete
  2. Na watakapokaa tena ni mamilion tena,Wajemeni!

    ReplyDelete
  3. Haya ni matokeo ya kulizisha makundi kupitia demokrasia isiyokuwa na kikomo. Demokrasia ni kama maji yote ni uhai lakini kila kimoja kikizidi ni mafuriko tayari inakuwa majanga.

    ReplyDelete

Top Post Ad