Kenya Kuipeleka Tanzania ICC, yadai Kisiwa cha Pemba Zanzibar ni Chake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Serikali ya Kenya inajiandaa kwenda Mahakamani kudai kisiwa cha Pemba ni chake, hii imekuja baada ya Somalia kuifungulia kesi Kenya ikidai eneo la ufikwe karibu lote nchini Kenya ni lake.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dunia inaelekea kwisha,Ni mwisho wa dunia sasa.

    ReplyDelete
  2. waambie watukome ati pemba ni yao mfyuuu wasituhamishie majanga uku washindwee kabisa

    ReplyDelete
  3. vita vya wenyewe kwa wenyewe sisi hatuwezi.
    Mungiki na nininini sijui hapana weza.

    ReplyDelete
  4. Acheni kutunga vitu hamvijui havina ukweli

    ReplyDelete
  5. Kenya wacha nyoko zako.... Amua moja mwachie Somali achukuwe chake au titimua misuli udai haki yako na sio ukurupuke kudai Pemba eti ni yako. Vichekesho vya kuaga mwaka 2014

    ReplyDelete
    Replies
    1. sivichekesho vya kuaga mwaka tu,Bali kwa watu wa unguja kupumua na Unguja yao

      Delete
  6. yawezekana kisiwa kimeshauzwa pia, natuliangalie hilo!

    ReplyDelete
  7. Inawezekana ikawa mali ya kenya ukiangalia umbali wa kisiwa kilipo.

    ReplyDelete

Top Post Ad