AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kupiia Instagram, Faiza ameandika maneno yanayoonyesha amemwagana na Mh.Sugu ambaye pia ni mbunge wa Mbeya mjini kupitia Chadema.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
sababu za kuachana nini?unalia unalia,toa maelezo ya kutosha kwa hao unao waasa,kwamba sugu kanifumania au vipi?
ReplyDeletePole mwaya pambana namaishayako na mwanao.shukuru mungu kila likuepukalo Lina kheri nawe
ReplyDeleteKwenye ndoa kuna mambo mengi,kuna ya kuvumilia,na mengine huwezi
ReplyDeletekuvumila hataiwe vipi. Pole sana,mtangulize Mungu ndiye muweza wa yote.
unawatangazia watu ili iweje au unataka kumaliza mheshimiwa kisaisa?
ReplyDeleteMalizeni tofauti zenu muendelee na maisha,vinginevyo mtamaliza mabucha nyama ni ileile.
ReplyDeleteMwendakwao siku zote haogop giza acheni arudi kwao ndoa imemshinda kama mahal atarudisha kwel mwanamume BWEGE ATAIVUNJA NDOA YAKE KWA AKILI YAKE MWENYEWE, kumbe hata ktk familia zenu maandamano yapo na mmeshindwa kuyapatia ufumbuz? malizen kwanza matatizo ya familia zenu ndipo mtatue na ya kwet
ReplyDeleteacheni uongo nani kawambia wameachanaaaaa muulize kwanza
ReplyDeleteunalilia ukimwi we mwanamke!!!!
ReplyDelete