Meninah Aongelea Issue ya Yeye Kufunga Ndoa na Mwanamuziki Diamond Platnumz

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Yaani sijui hata nianzie wapi kuzungumzia hili la kutaka kufunga ndoa na Diamond, naomba niseme ukweli kwamba nashangaa, kwanza sijui chochote, nimekuwa nikiandikwa mara kwa mara lakini taarifa hizo wala hazina ukweli wowote.

“Mimi na Diamond ni tofauti kabisa, sijawahi kuwa na ukaribu naye. Kwanza naumia sana na kutokwa na machozi kuendelea kusikia taarifa hizi kuwa naolewa naye kitu ambacho hakipo kabisa, hata yeye mwenyewe akisikia hivi anaweza kumtafuta mtu ambaye anasemwa kuwa anatoka naye jambo ambalo si la kweli.”

“Wema namheshimu kama dada yangu, mtu ninayemjua kwenye tasnia ya filamu Bongo, kwanza wote tunafanya sanaa japokuwa kwa upande wake anafanya filamu na mimi muziki. Hizo taarifa juu ya kuniwinda sijui na sijazisikia. Kiukweli zimenishtua sana.” Meninah

Diamond alipotafutwa kuzungumzia ishu hiyo hakupatikana kwa kuwa alikuwa ziarani barani Ulaya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani watu waache uzushi basi khaaaaa

    ReplyDelete
  2. Menina,is it a crime kujipatia bwana ambaye tayari Ana nyumba zake za kutosha?Kama wamemwagana Na Wema jichukulie mume,eti u girl friend kataa mwanbie Kama anataka papuchi akuoe kabisaaaa,ila mpelekane Angaza kwanza,maana Domo kwa mdomo wake alisema avaagi condoms because he believes them chicks whom he got down with them.LMAO!!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nakubaliana na wewe,kama kuolewa aolewe baada ya kupima,ila sasa kuolewa na
      Daimond ina maana avumilie upuuzi anaoufanya wote,na kama wa kutaka kuchovya mdudu wake kwa kila mwanamke bila kinga kutakuwa na usalama kweli?labda abadilike.

      Delete
  3. LAKINI HATA WENGINE WALIKATAA HIVYO MWISHO WA SIKU WAKABAKI MIDOMO WAZI WAAAAA

    ReplyDelete
  4. Lisemwalo lipo, kama halipo laja

    ReplyDelete
  5. Ni mwanaume wake huyo meninahladivah ni muongooo, malayaa tu huyo, wacha wafe wote na ukimwi kwa tamaa ya pesa! !! Anakataa tuu hana lolote, Mfyuuuuu! !!

    ReplyDelete
  6. Tamas ya PESA ,diamond si mwanaume,ni muhuni sanaaaaa,mwanamke mzuri amwachiiii akapita,yeye anafagia fagia,Menina kweli umekosa mwanaume mwenye heshma zake?????au kisa unataka Mali Kama penny?poleni bora nife Na dhiki zangu.

    ReplyDelete
  7. Domo sio Kama watu wanakuchukia la hasha wanakerwa Na tabia yako ya kubadilisha wanawake Kama nguo,wakati uko Na wema Na penny,warembo wengine ulikuwa unawala Kama kawaida,kina rehema,kina uwoya,kina gambe,kina Hamissa ,kina Victoria,kina Joketi ,Na wengine wengi tuu,wewe unafikiria sifa??wewe unataka kuwa Tia watoto Wa watu matatizo sijui ukoje we mshamba Wa tandale,anataka awamalize watoto Wa masaki wooote.Na misichana ilivyokuwa cheap inavua tu machupi Yao .Menina linaliwa Na dai lakini linakanusha,utakanusha mpaka lini?

    ReplyDelete
  8. kwani hao wasichana wameitwa kwa dai, si shobo zao tu

    ReplyDelete
  9. Afu Li dai lenyewe chafuuu Mimi lilinitia bila kondomu,condom alutaki kuvaa

    ReplyDelete
  10. Mimi niko upande Wa dai,kwani aliwabaka?Dai tombatomba mademu hao wamalizeeee woteeee.Tena hivyo hupendi kuvaa condom safi sanaaaaaa.

    ReplyDelete
  11. Mimi sijawahi kusikia Daimond kabaka,na wala sijawahi kusikia anatoka na watoto wa shule.Hana kosa kijana wa watu,mabinti wenyewe wanapanga foleni kwa hiyo shauri yao kipindupindu kitakapoanza.

    ReplyDelete
  12. Ni uwongo jamani,ila ndugu wa Dai wanatamani sana
    Menina awe mke wa Dai.lakini kwamba wanadate ni UZUSHI.

    ReplyDelete
  13. Kabisaaaaaa Mdau nakuunga mkono wenyewe kwa tamaa zao wanamfuata Domo,waacheni du umaarufu mtamuuuuuu,angekuwa si maarufu angeishia kulala Na Washamba wenzie Wa Tandale,sasa hivi snacked DEMU yoyote anayemtaka,Na maisha yalivyo magumu.Hawa vijana waliolelewa kwenye mazingira magumu ya Kiswahili nasikia ukibadilisha wanawake Na kuwafunua wanawake wengi ndo unaonekana kidume tabia za umalaya azibadilikagi hata aoe,Na atakayeolewa Na dai nampa pole,mvuto upo kwakuwa sasa hivi ni star,Mungu alikujua tanguuuu ndo maana ukanyimwa u tanashati(means sura ya mvuto wakati Wa shughuli) Dai sikuchuii nachukia tabia yako ya kutaga mayai kwa kila mwanamke,wadada acheniiiiiiii tamaaaaaa hizo tamaaa ni mbayaaaaa,matokeo yake unakuja jutaaaaa.

    ReplyDelete
  14. Jamani kasema hayuko na dai mbona mnachonga sana?

    ReplyDelete

Top Post Ad