Ukweli Kuhusu Tetesi za Mwanamuziki Tunda Man Kufukuzwa Kundi la Tip Top Connection

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Manager wa Tiptop Bab Tale amesema msanii Tunda Man hajasimamishwa kazi Tiptop na sio kawaida kwa Tiptop kusimamisha wasanii wake ila kila msanii ana mfumo wake wa kurekodi na kutoa kazi mpya. Tetesi za Tunda Man kusimamishwa kazi zilisambaa hivi karibuni zikichangiwa na ukimya wa Tunda Man baada ya kutoa video ya Msambinungwa February mwaka 2014.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi kwanini wasanii wazembe? kwani mpaka wawepo kwenye makundi??? hawawezi kujisimamia kazi zao??? au kwasababu wengi hawajasoma???

    ReplyDelete

Top Post Ad