Mwanamke Apigwa Mawe Hadi Kufa Huko Somalia Baada ya Kufanya Mapenzi Nje ya Ndoa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamke mmoja ameuawa kwa kupigwa mawe nchini Somalia na kundi la wanamgambo wa Al Shabaab.
Ripoti zinasema kuwa takriban watu 200 akiwemo gavana wa eneo hilo walishuhudia watu wakimpiga mawe mwanamke huyo kwenye mji wa Barowe.
Mwanamke huyo wa umri wa miaka 30 alikuwa ameshutumiwa kwa kufanya mapenzi nje ya ndoa.
Wadadisi wanasema kuwa mauaji hayo ini ishara ya ushawishi wa kundi la Al shabaab hata baada ya kushambuliwa na serikali ya Somalia pamoja na vikosi vya muungano wa Afrika.
Mji wa Barowe ambao uko umbali wa kiomita 200 kutoka mji mkuu Mogadishu umekuwa ngome ya Al Shabaab.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Duniani hapa kuna watu wanaimani za ajabu na mimi nashukuru imani yangu hainifundishi hivyo, eeh mungu ulie juu mbinguni ona wanao tulivyogubikwa na ushetani, ukiwa tayari njoo utuchukue

    ReplyDelete
  2. Duniani hapa kuna watu wanaimani za ajabu na mimi nashukuru imani yangu hainifundishi hivyo, eeh mungu ulie juu mbinguni ona wanao tulivyogubikwa na ushetani, ukiwa tayari njoo utuchukue

    ReplyDelete
  3. Utafikiri yenyewe hayana dhambi wakati hukumu nijuu yamungu.walaaniwe wote waliofanya hivi mungu hukumuyako ikachukue nafasi yakasi kwahawa waliotendahivi

    ReplyDelete
  4. miye nauliza kwani hayo mapenzi alikuwa anajifanya mwenyewe jamani?? na hao wanampiga mawe wana usafi wa kiasi gani? ? mungu atawahukumu siku ya mwisho!!!

    ReplyDelete
  5. hao ni wafuasi wa shetani!! mungu wa kweli hakubaliana na unyama huu!!!

    ReplyDelete
  6. Mungu wa kweli anasema "usiuue" hukumu ni juu yangu asema Bwana. Mungu hawezi kujichanganya aseme usiuue tena aseme ua. Huo uzinzi alifanya mwenyewe bila mwanaume? yuko wapi mwanaume aliyezini naye?shetani amewapofusha macho hata hawajui walifanyalo. Dini nyingine ni za kuogopa kama ukoma.

    ReplyDelete

Top Post Ad