AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
KABAANG! Miss Sinza 2001 na aliyekuwa pia mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amenaswa akiwa kimalovee laivu kitandani na modo maarufu Bongo aliyejulikana kwa jina moja la Calisa.
Picha hizo ambazo zinamuonesha Husna na Calisa wakiwa wamekumbatiana zimevuja kiitelejensia na kumfikia paparazi wetu kisha akawauliza kulikoni? Ni wapenzi?
“Siyo kweli sina uhusiano na Calisa, sina boyfriend na sitaki mwanaume kwa sasa, Calisa ni rafiki yangu tu,” alijibu Husna huku Calisa akijibu:
“He hebu ngoja kwanza nitakupigia, hizo picha kaleta nani?”
GPL
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete