Alikiba Yuko Wapi..Team Kiba Mko Wapi Mbona Kimya ?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jamani wale Team Alikiba vipi tena mbona Kimya, Hatumsikii Kabisa Kiba Tena si mlisema Amerudi Upya Kukufuta Kiti chake Mavumbi na Kukikalia
Habari ya mwana imeishia wapi?
Tupeni Update yupo wapi? Show Wapi? Anapanga kufly kwenda kufanya show nchi ipi na ipi?

Eti jamani vitu kama hivyo, hata kama ni Udaku wa uongo nyie tuleteeni tuu Tumpe Kick, acheni kumdrop down mtu wenu Jamani.


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. ha ha ha ha ha we kweli mchawi.tafuta nini wewe tena?

    ReplyDelete
  2. udaku acheni uchonganishi mmepna kiba wetu katulia xaxa mnaanza chokochoko zenu alaf we admin vp kwan umekwama wap

    ReplyDelete
  3. Hv nyimbo ya nan inaongoza kuwa downloaded katka websites???

    ReplyDelete
    Replies
    1. katafute uko unamuuliza nani

      Delete
    2. namuuliza mama yako!!

      Delete
    3. fara we unataka kila kitu uletewe tafuta uko

      Delete
  4. Maamayo uliendika umbea tu.

    ReplyDelete
  5. HAHAHAHHAHHAHHAHAHAHAHAHAHAHHAHAQHAHAHAHSHAHAAHAHAHHAAHH NI SHIEDDDDDDRRRRR

    ReplyDelete
  6. kiti kimeingia vumbi ten tulieni mpaka atakapoamua kukifuta mwenyewe

    ReplyDelete
  7. Mkundu wako ndo umeingia vumbi wewe hapo juu subiri mtu aje kuufuta.

    ReplyDelete
  8. team
    alikiba kausha mambo si mambo tena

    ReplyDelete
  9. admin nina wasiwasi na ww....unamtaka kiba nn si umtafute coz nahisi si bure unawashwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad