Clouds FM Wamshindwa Kumtumia Diamond Kwenye Show zao za Fiesta

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati wasanii wakibongo kwa ujumla wao wakihangaika na shoo za Fiesta msimu huu, Diamond ameendelea kujidhihilisha kwamba ni msaanii mkubwa sana kiasi cha jamaa wa Clouds Entertainments kushidwa kumtumia vilivyo mwaka huu kwenye show zao!

Ieleweke kwamba kipindi hiki huwa ni cha neema kwa wasanii nyumbani ambao wengine hufikia kuomba angalau tu wapate fursa japo tu ya kupanda jukwaani kuonana na mashabiki.

Diamond kwa kipindi kirefu sasa amekuwa ni msanii wa Tanzania mwenye show nyingi sana nje ya nchi kiasi kwamba imeshindikana kumbakisha hapa nyumbani kushiriki show za hapa. 

Pamoja na upizani mkubwa mno naoupata kijana ameendelea kukomaa na kujenga heshima hata kwa wale ambao bado walikuwa wabishi kumkubali Diamond.

Tunachoweza kusema kwa sasa ni kumtakia mafanikio mema na aendelee kufanya haya mapinduzi makubwa kabisa kimuziki wa Tanzania. Keep it up Diamond.
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hao jamaa wa clouds ni wanyonyaji wa zaidi ya mdudu kupe so Diamond amejitambua hawamuwezi tena kama walivyowashindwa wakina JD na prof J......waendelee kuwanyonya hao hao wasanii wadogo wasiojua thamani yao

    ReplyDelete
  2. leo adminn umeandika point keep it up. siwez kuongelea hao clouds ila kiukwelin diamond ni msanii anaetambua thamani yake ata kazi zake nzuri hivyo ni gharama kumpata tofauti na hao wengine mpaka inafika mahali msanii unaomba upewe nafasi upande jukwaani sasa unategemea bei ya kulipwa utapanga wewe au utapangiwa. ni lazima utakuwa na WEAK BARGAINIG POWER TU

    ReplyDelete

Top Post Ad