Diamond asema "Nipo tayari kumsaidia collabo Ali Kiba"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Akiongea na 255 ya XXL kupitia Clouds fm Diamond amesema yupo tayari kumsaidia Ali Kiba.

Aliulizwa je yupo tayari kufanya kazi na Kiba pamoja na tofauti zinazozungumzwa kati yao.

Akajibu.....

Namnukuu " kama akija kuniomba nipo tayari kumsaidia, kama nimeweza kufanya na wasanii wa nje itakuwaje nikatae kufanya na. wasanii wetu wa nyumbani......nimeshasaidia wengi so akija yoyote nipo tayari kufanya nae.

Kiukweli mimi nimeshafika level fulani ivyo ni rahisi ata kumtangaza mtu kimataifa,so ikitokea mtu anaitaji nimsaidie mi sina tatizo"

Wasanii wa kimataifa Diamond aliofanya nao collabo mpaka sasa 

Waje - Nigeria 
Mafikizolo - South Africa 
Kcee - Nigeria 
Don Jazzy - Nigeria
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kumsaidia!!?? Acha hizo domo, kiba siyo underground kama ana management nzuri anaweza kupata connections na hao mastaa tena wengine zaidi ya hao.

    ReplyDelete
  2. uuh huyu diamond inabidi management yake iimpe darsa jinsi ya kuongea mana maneno yake yanaleta shida hivi kweli msanii kama ali kiba anaweza akahitaji msaada wake kweli hivi hajui kuwa ali kiba ni rockstar 4000 je anafikilia connection za kuimba na wanigeria rockstar 4000 hawawezi endapo akina babu tale wameweza watashindwa rockstar 4000 je ina maana domo anafikili rockstar 4000 ambao wanauhusiano wa kibiashara na sony hawawezi kumfikisha ali kiba mbele zaidi? kwani kampuni kubwa duniani ya music ni sony na wasanii wengi wakubwa marekani wapo chini ya sony nadhani wapo wasanii wanaoweza kuomba msaada wa diamond ila sio ali kiba angewafurahisha sana watu angesema anaweza kushirikiana naye kikazi na sio kumsaidia mana kila mtu anajua kama kuimba ali kiba ana radha nzuri kuliko yeye kwa maneno yake asitegemee ali kiba anaweza akafanye naye nyimbo mana hata wakifanya nyimbo diamond atasema aliamua tu kumsaidia ali kiba

    ReplyDelete
  3. Zaidi kauli yako ya kusema umesaidia wengi ukiwataja watu kama akina don jazzy na mafikzolo umekosea kwani hawa watu hawahitaji msaada wako ila walitaka kufanya kazi na wewe ili kuongeza radha ya muziki wa afrika ufike mbele zai tu na wewe kama kazi lakini sio eti umewasaidia hivi don jazzy na utajiri wake wote na mafanikio yake kwenye muziki mafanikio ambayo hata robo yake wewe hautakuja kuyapata katika maisha yako na heshima ya mchango wake kwenye huu muziki leo hii aombe msaada wa diamond nadhani ingekuwa vizuri ungesema kama mimi nimesaidiwa na akina don jazzy, kcee na mafikzolo watu wangekuelewa ila kusema wewe umewasaidia watu hao kwa kweli umechemsha mana hao wote uliowataja wana mafanikio makubwa ambayo hata robo ya mafanikio ya wewe huwezi kuyapata

    ReplyDelete
    Replies
    1. naongezea tu! hivi anajua hao alowataja walikubali ili kumsaidia yeye? huyu jamaa anapenda sifa sana, nadhani hata wibo alomshirikisha kiba kisha akatoa vipande vya kiba alijua kiba alimfunika na alifanya hivyo bila kumtaarifunika vibaya ndo maana hata hakuweza kumshirikisha kwa sababu ya ushamba na ulimbukeni wa mafanikio ya kimuziki

      Delete
  4. Unajua WAZUNGU wanasema TIME WILL TELL let us wait and see if Ali kiba endapo ali kiba ataomba msaada wa DIAMOND ili atoke kwani kwa mwendo wa misifa wa DiAMOND yawezekana hao wasanii hawakumtafuta waimbe naye ila aliwawekea mazingira ya kuimba nao kwani ameshasema mengi hayakuwa ya ukweli kwani ni msanii anayejisifia kila siku hata hizo nyimbo anazodai kaimba na akina don jazzy yeye ndio amekuwa akisema ila wao hawajaonekana wala kusikika pahala popote wakisema juu ya collabo hizo kwani yeye ndio anaona ni kick kusema kaimba nao ila wao wanasubiri wakati ukifika ndio waseme so anaposema amewasaidia nadhani kama kweli walipata msaada wake basi hata HIZO NYIMBO zingekuwa released tayali au hao wasanii kuzungumzia juu ya kuimba na DIAMOND mara kwa mara nadhani Diamond ajifunze na aache kusema sema juu ya mambo yake ila mambo yenyewe yaseme mbona ali kiba ana nyumba nyingi mjini lakini hajawahi kupost picha za ujenzi wake au mbona ali kiba ana biashara nyingi mjini ila hajawahi kuonyesha vitu vyake Hivyo Diamond futa kauli kwamba unaweza kumsaidia ali kiba kwani ana uwezo wa kupata connection zaid ya hizo ulizonazo wewe unajua na management yake unaijua sasa subiri nini ali kiba atafanya na utajiuliza kama kweli ali kiba anahitaji msaada wako

    ReplyDelete
  5. WADAU MBONA MNATOKA MAPOVU BURE DIAMOND KASEMA LINI HAYO AU WANAJARIBU KUZIDI SHANGWE KESHO

    ReplyDelete
  6. Muache aje kwa Diamond Platnum asaidiwe tu kijana kachoka vibaya aje asaidiwe mistari na yeye atoke

    ReplyDelete
  7. Asaidiwe Tu! Mtu gani haeleweki mashabiki zake wanhangaika kumpaisha lakini wapi au watoto hawajakuua bado.

    ReplyDelete
  8. kweli ndiyo maana unaitwa DOMO, siyo tu kwa domo lako kuwa kubwa, hata kuongea domo lako ni domo, wewe unasema kumsaidia KIBA? hivi wewe unadhani bila ya msaada mkubwa kutoka kwa Mhs Kikwete, ungekuwa hapo ulipo? wangapi wanaimba vizuri tu hapa TZ kama hii bendi mpya inayoitwa YAMOTO BAND ambao wanasauti nzuri na nyimbo bomba ambao bado wako chini sababu ya kutopata huo msaada wa Mhs. hebu nyamaza bwana, kama kweli ulitamka kumsaidia Kiba!! basi wewe nilimbukeni, ndiyo maana hata shoo zako zinakuwaga na misukosuko sababu ya njaa zako!!

    ReplyDelete
  9. kwanza Kiba, alishaimbaga na wasanii wakubwa kama kina R Kelly!! wewe unaona hvyo vifaranga ulivyoimba navyo ni vikubwa, hata DOVIDO kwenye remix yako, aliimba "i wanna make u famous" au hujui alikuwa anamaanisha nini? pumbaf

    ReplyDelete
  10. Acheni wivu aliepewa kapewa huu ni wakati wake mwacheni tatizo la wabongo ndo hilo mtu akifanikiwa tu kidogo wenye roho mbaya wengi wanaibua vikwazo mwacheni jmn na mnaopiga kelele wengi hata kumi hamna wivu tu

    ReplyDelete
  11. Mapozi yanawatoka kwa wivu haaaha mitoto ya kiume hata hamfanani kuwa na vijiba vya roho namna hivyo makubwa haya na majanga ya snura! hivi Daimond angekuwa wewe unaetoka povu kwa wivu ungejickiaje uchopenda kufanyiwa ucmfanyie mwezio Mungu hapendi jmn! but he don't care!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Diamond achee ufala bwana wewe hujui kuongea kiba sio rika yako kwa mziki wala ki miaka kiba ako juu kukushinda ufala mwingi uwache jua kuongea

      Delete
  12. cku zote ntajfunza kutoka di alpotokea ila cwez kuiga mwenendo wa maisha yke,vlevle ntaiga usiri wa ali kiba ili nfanikishe lile nnalotarajia na kuepuka skendo zczo na maana na mwisho ntaiga kazi ya km juma nature ili wa2 wacnchoke na kunizomea bal wakumbuke kazi zangu 7b hana majvuno wala kujiona yy n nan kwa mashabiki zake na wala c mkimya km ally k.Em km ww shabk yeyote wa diamond au ally k unaweza kumsimamisha na kazi ya juma nature.Kuzomewa na ku2kanwa inatokana na ww unavyojionyesha kwa jamii inayokuzunguka.

    ReplyDelete

Top Post Ad