Mshiriki wa Kike wa Botswana Big Brother Ajilegeza Kwa Jembe Letu la Kiume ( Idris) Linaloiwakilisha Tanzania

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA





Big Brother Africa: Mshiriki wa Kike wa Botswana AJILEGEZA Kwa jembe letu la Kiume ( Idris) linaloiwakilisha Tanzania ... Siku washiriki wa BBA Hotshots wanatambulishwa, mwakilishi wa Tanzania, Idris Sultan alimwambia mtangazaji IK kuwa cheche zake zipo kwenye masuala ya wanawake. Huenda sasa shughuli imeanza. Baada  ya  binti  mrembo  wa  Botswana( Goitse)  kumzingua  mshikaji ( Idris ) aliyekuwa  ametupa  jiwe kumtaka  awe  mpenzi  wake, hatimaye  Idris  jana alimnasa binti  huyo na kula  naye  dinner pamoja... Ni  kama  ndoto  vile!!....Dinner  hiyo  iliandaliwa  na  kufanikishwa  na  washikaji  zake  wa  karibu  Nhlanhla na JJ  ambao  walisaidia kupika chakula hicho  kuhakikisha kuwa wawili hao wanakuwa na mtoko utakaowafurahisha.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad