Diamond Atajwa Katika Orodha ya Wasanii Kumi Walioleta Mabadiliko Katika Muziki Afrika

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkali wa Ngoma ya "Mdogo Mdogo" Diamond Platnumz ametajwa kwenye Orodha ya wasanii Kumi Afrika waliofanya Mabadiliko (Top10 Most Game Changers).

Orodha hiyo imetolewa week hii kwenye Kipindi cha Top10 Most kinachoendeshwa na Joketi Mwengelo na Ice Prince kutoka Nigeria, Diamond Platnumz ameshikilia namba 10 pamoja na Fally Ipupa. Hii ndio List nzima 
1. 2face Idiba 
2.Boom Shaka 
3.D banj  & Don Jazzy 
4.K'naan -
5.Banky W  & Psquare 
6.Dj Jimmyyat & Dj Waxxy
7.Tiwa savage  & Wizkid ayo 
8.Ice Prince - Nigeria & Naetoc 
9.Mafikizoro & Mr. Flavour
10.Diamond Platnumz & Fally Ipupa
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamaa anajua sana big up to Diamond kwa kweli

    ReplyDelete

Top Post Ad