Wakati Chid Benzi Akisota Polisi kwa Kosa la Madawa ya Kulevya..Ray C Afunguka Haya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

"Pole kaka yangu Chidi Benz,Naumia kuona tatizo uliokuwa nalo bado haujalitaftia jibu unalijua la kutatua tatizo lako,Mimi ni dada yako na tumeshafanya kazi Pamoja,Tatizo ulilonalo na Mimi nilishakuwa nalo na niliweza kulitatua sababu nilijitambua na kutafuta suluhu,nimejaribu kila njia kukushauri badala yake ukaja na rungu la kimasai na kunitandika nalo nyumbani kwangu!nadhani janga hili lililokukuta litakuwa Kama jibu kwako kwamba unakoenda si salama kabisa kaka yangu ni bora ubadilishe njia ili uweze kuungana nasi kwenye tiba ya Methadone kwani ndio Kiboko ya madawa ya kulevya!!!!Kama Mimi mwanamke nimeweza najua Hata wewe utaweza!!!!Tanzania bila madawa ya kulevya Inawezekana !!Watanzania tusimyanyapae Msanii wetu kwani Uteja ni ugonjwa Kama ugonjwa mwingine na Unazuilika na Kutibika,Ana kipaji na Ana uwezo wa kurudi tena kwenye Sanaa,Tumuombee mema.........Tanzania Stand Up n Wish Him Luck............With Love,Ray C Foundation."
----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we ray c bado mental trust me..kila mtu namaisha yake ,,,,,kwa nini unataka umaaraufu usio kuwa nao nenda china,hk kauze kuma ndio kilichobakia.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Inaonyesha ni jinsi gani kuwa wewe ndo mental wa kutupwa usiyelewa mambo ya MAANA anayosema RAY C

      Delete
  2. WEE KUMAMAKO KAMA WEWE UMEFANIKIWA HONGERA , KAMA HUYO CHID BADO ATAJIFUNZA SIO WEWE KUJIFANYA KAMA NDIO MSHAURI MBONA UMEVUTA UKAWA MPAKA AROSTO?

    KAUZE NYABE HUKO COCOC BEACH, MALAYA MKUBWA WEE!

    ReplyDelete
  3. Tanzania acheni kufukia mambaya. Ray C anaelewa zaidi kuliko mnaochangia hapa. Na hii kufichaficha mambo kutosimama kukemea itawamaliza Tanzania.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante mkuu kwa kuwaelimisha hao wapuuzi wasiotaka kujitambua

      Delete
  4. Mateja wengi humu ndani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ni kweli kabisa kama kuna watu wanamjibu hivyo Ray C

      Delete
  5. Sio kidogo ndugu yangu tena wanatia huruma, sio mateja ni MITEJA kwa kweli! Poleni mnaotoa mitusi ya kule mlikotokea, kwa nini mnawatukana mama zenu, nyie mlipokuja duniani mlitokea mlangoni kama sio POINT OF NO RETURN!

    ReplyDelete
  6. huyu malaya kazidi yeye alivyokuwa anauza kuma nairobi nani alikuwa anamshauri nyie mnao mtetea hamumjui huyu chizi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwahiyo mnataka Chid nae awe mental ndo mfurahi? Hamjui tu jinsi wazazi wa Chid wanavoumia... Mnaishia kutoa mitusi. Nyie ni Miteja tu si bure...mtu timamu hawezi kutoa comment mnazotoa.Ni TEJA tu ndio atasema maneno hayo.

      Delete
  7. Kusikia kwa Kenge hadi damu imtoke masikioni

    ReplyDelete

Top Post Ad