Je hiki Kipigo cha Katiba ni Uthibitisho UKAWA Sii Lolote Sii Chochote, 2015 Ni CCM Tena?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kufutia hiki kipigo cha Katiba Mpya kwa kundi la Wana UKAWA, Tume ya Warioba na Watanzania wote wapenda demokrasia ya kweli!, jee kinaweza kuwa ndio kiashiria cha awali kuwa hawa Wa UKAWA sii lolo, sii chochote, hata kama wataunganisha nguvu, na kumsimamisha mgombea mmoja!, na hata mgombea huyo akiwa ndie Joseph Sinde Warioba mwenyewe, bado watapigwa mwereka?!.

Huu unaweza kuwa pia ndio uthibitisho hata CUF, kule Zanzibar sii lolote sii chochote!, 2015 ni CCM Tena?!.

Ni swali tuu!.

Pasco
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mambo yakulazimisha mambo tuuu.nahuo uchaguzi wala sipigi Kura uzushi mtupu.watatuletea mafamba tu wenye matumbo ya ufisadi walevizuri.nakaa kimyasipotezi mda wakupiga kura.zaidi ntasali tu lakini sitojishosha kwa ajili yawatuwachache wanaotaka kujinufaisha wao.na mungu atawashuhulikia sawasawa uovu tumeuchoka.

    ReplyDelete
  2. kusoma hujui na picha huoni?

    ReplyDelete
  3. Kajambe kuleee

    ReplyDelete
  4. we admini bwege, c lolote na c chochote ni wewe na tumbo lako lakifisadi, boya wewe

    ReplyDelete
  5. acheni usenge,tanzania tutaendelea kuwa masikini tuuu,inabidi tuchague viongozi bora bila kuangalia chama

    ReplyDelete

Top Post Ad