Vijana Wakimya Wanabahati Sana ya Kupendwa na Wasichana

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Nimekuja kugundua wanawake hawapendi sana mwanaume mjuaji. Kuna watu wakimya sana hata akilewa yeye huwa anatabasamu tu, basi wewe utaongeeaaa, utapiga storiii na kujifanya kila kitu unajua lakini utashangaa mwisho wa siku aliyeenda kugegeda ni jamaa aliyekua hajachangia hata sentesi moja kwenye kiringe.

Na wala huwezi jua amemtongoza huyo msichana saa ngapi, nimejaribu hii kitu imenishinda aisee, yaani Safari zikishafika tatu tu, yaani naongea mpaka mishipa ya kichwa inanitoka.

Kwa kweli ukimya ni kipaji.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni kweli huwa anatongoza kwa maneno machache sana..mpole mrefu mweus hawa hupendwa sana ..ila weupe na vistuli nyundo mbembwe maneno hawana lolote

    ReplyDelete
  2. nicheke mie eti vistuli nyundo mdau bwana.

    ReplyDelete
  3. Sasa hy Shemar Moore naye kijana?????? Maana ata ww mwandishi anakuzaa. Hv hizi elimu zenu za wapi???

    ReplyDelete

Top Post Ad