AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Kutokana na hali hiyo, Bunge hilo ambalo lilikutana kwa wiki mbili huko Kigali, Rwanda liliahirishwa jana kwa muda usiojulikana, muda mfupi baada ya kushindwa kufanya uamuzi wa kumwadhibu Bhanji ambaye anakabiliwa na tuhuma mbalimbali za utovu wa nidhamu.
Mgogoro huo ulisababisha Eala kwa wiki mbili, kushindwa kufanya lolote lililokuwa limepangwa kwenye kalenda yake, kwani kila lilipokutana, wabunge walitoa hoja liahirishwe hadi pale suala la nidhamu dhidi ya Bhanji litakapotolewa uamuzi.
Mbunge huyo anatuhumiwa kutoa maneno yasiyokuwa na staha kwa wenzake, kuwakashifu na kuwatukana baadhi ya viongozi wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, wakati wa ziara ya ujumbe wa Eala katika nchi za Jumuiya ya Ulaya (EU), Ubelgiji.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
MBONA HABARI YENYEWE HAISEMI NANI KATUKANWA NA HIZO FUJO ALIZOFANYA KWENYE NDEGE MPAKA KAFUNGWA PINGU TUONYESHWE KAMA NI KWELI
ReplyDeleteKWA MTAZAMO WANGU NAONA KUNA AJENDA YA SIRI SHY ROSE SIMAMIA UKWELI KAMA UMEFANYA HAYO ACHIA NGAZI
ReplyDeleteEti 'hafukuzwe' (afukuzwe) 'hakumbuke' (akumbuke) 'staa' (staha) rudi darasani (la kwanza) utafundishwa kutamka maneno vizuri.
ReplyDelete