Wanaoshi Dar es Salaam ni Waheshimiwa Mikoani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Uwe mkazi wa Dar ukienda mikoani watakutreat kama mheshimiwa,utakuja kupokelewa stendi ya mkoa,warembo wa mtaani wakisikia umetoka dar hata uwe na sura mbaya hawakutosi,ukitua tu siku hiyo lazima kuku au mbuzi apoteze maisha,nyumba itadekiwa.

Wa mkoani njoo Dar es salaam kuazia masaa nne kabla hujafika ushaanza kupiga simu upokelewe stendi ya Taifa ubungo,huji kupokelewa utaelekezwa rangi ya mkanda wa daladala ya kupanda,ukifika utakula ugali au wali kwa matembele,halafu unalala sebuleni kwenye kochi bila neti ya kuzuia mbu(mbona utarudi tu mkoani)
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. KAMA MWENYEJI WAKO HANA UWEZO ULITAKA AKAIBE? SI USHUKURU UMEPIKIWA UGALI UNGEKAA NA NJAA UNGESEMAJE OVYOOOOOOOOOO, MIJITU ISIYOKUWA NASHUKRANI

    ReplyDelete
  2. Mambo ya kutwa treated kama Mfalme eti kwasababu umetoka Dar ilikuwa zamani not now.

    ReplyDelete
  3. Umekuja Dar kutafuta maisha, umepanga chumba kimoja bila sebule, huyo mgeni utamlaza wapi, hata hilo kochi huna! Watusamehe kwakweli naomba wabaki huko huko mikoani.

    ReplyDelete

Top Post Ad