Alichosema Wema baada ya Diamond kupata tuzo 3 za Channel O

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Baada ya Diamond kupata tuzo tatu usiku wa kuamkia leo, madam Wema Sepetu ktk page yake ya instagram hakusita kumpongeza kwa kuandika:
"Good night Instagramers pongezi nyingi zimuendee kaka Plutnumz kwa kupata tuzo"
Hii ni muendelezo wa series zao za mapenzi ktk kuachana na kurudiana.
Diamond aliongizana na mama yake pamoja na mpenzi wake mpya Zari, ktk khafla hiyo ilihudhuliwa pia na Vannesa Mdee, madam Rita na Salama Jabry.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Congratulation !!!!!!!!! You deserve for the hard work you are doing .
    my advise to you please do go back and take what you throw In the dustbin it is duty .

    ReplyDelete
  2. MAMA DIAMOND NA WEWE UNA MATATIZO KAMA MWANAO,MAANA UNAVYOTAMBULISHWA WAKWE KIBAO UNAKUMBATIA TU,HATA HUNA SAY.WE MAMA WA KUWAPI SIJUI?HAYA HUYO NI WA MDA BAADA YA MIEZ MIWILI UTAPIGA PICHA NA MWINGINE.weEEEEE MKARI KWA UNAFKIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

    ReplyDelete
  3. Mama naye kashakuwa muuza sura

    ReplyDelete
  4. Mama yake naye kashakuwa muuza sura

    ReplyDelete

Top Post Ad