Breaking News: Ngumi za Ibuka kwenye mdahalo mkubwa kujadili katiba inayopendekezwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mdahalo mkubwa ulioandaliwa na taasisi ya Mwalimu Nyerere wakatishwa ghafla baada ya kuibuka ugomvi mkubwa. Watu wasiofahamika walisimama na Mabango yaliokuwa yanaonyesha kukubaliana na katiba inayopendekezwa wakati mwenyekiti wa Tume ya mabadiliko ya katiba Waziri mkuu mstafu Jaji Warioba alipokuwa anahitimisha hotuba yake kama mchangiaji wa kwanza. 

Je ni Kweli CCM wameandaa watu kwenda kumzomea Warioba ?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nihivi hawa ccm hawana akili.hizi fujozao na mabavu ndiozinatufanya tuzidi kuwadharau nakuwappotezea nauchaguzi tutachagua wabunge wengi ukawa.sababu wao wamesahau kutumia akilizaidi kufanya mambo nahoja zamsingi tuwaelewe badala yake wanatumia nguvu.hatamikutano ya chadema wakiwaona tu wanawapiga bilasababu,katiba fujo tutawakomesha kwenye uchaguzi kumamae zenu.hatutawachagua sababu hamna akili.tumeshawachoka

    ReplyDelete
  2. mimi nafikiri hawa vijana wa CCM WAPEWE MAFUNZO YA MAADILI MEMA NA UVUMILIVU WAKATI WA KUTOA HOJA ILI MTOA HOJA WAMVUMILIE NA WAO ZAMU IKIFIKA WATOE HOJA ZAO BADALA YAKUTUMIA MABAVU jamani ccm mtaonekana hamana hoja za msingi kwa mtindo huu jaribuni kuwa waungwana ili tuwachague mwakani

    ReplyDelete

Top Post Ad