Le Mutuz Haters Wengi ni Wanaume Kuliko Ladies...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Hahahahah watanzania- bwana 
Le mutuz haters are mostly from men 
And- a few chicks- who just hate. .
Wanaume ni vile viuno anavyoshika lemutuz na ma bebez- inawakula- moyo na mnatamani- kufa...sikia huyu jamaa 
Ni wa kishua- hata mseme- nini huo ndo ukweli..or let me put it this way he still is this Rich kid that grew up in a well of family of once a prime minister of UROT..
Haya na ame- travel na diplomatic- passport mpaka ukubwani- mpo hapo? ?
Watu wengi anaouza- nao sura ni watu either kakua- nao uzunguni- hau alisoma- nao ushuani. .Come on guys his dad was a prime minister...It was a big deal...
Haya kuhusu kubeba- box!!me nilidhani watu wenye akili timamu- wangemsifia- kwamba jamaa na kuwa na Mali zote home na bata la baba wazuri mkuu- he still left all that and went to live independently- and hard working life in the us- na kula- Kwa jasho- lake kama m mwanaume. ..lakini kwasababu- watanzania- tumezoea- ufisadi- na wengi tumeclaim- mtoto wa waziri hawezi- fanya kazi kama zile basi mnamtukana. .mimi ndio sipendi baathi- ya sifa anazofanya- especially na hawa bongo celebraties- simply because of the status of his family and his dad..to me he can do much better ila that's just my opinion- cause mwisho wa siku mtu hachaguliwi- maisha...

~Winnie227 Via JF

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. your are very stupid... lazima utakuwa bwana wake unamtetea...huyo jamaaa ni mshamba sanaaa mtu mwenye akili zake hawezi kuongea maneno kama hayo unayomuongelea paka weee

    ReplyDelete
  2. Na uliandika kama ni mwanaume anakuemea kisogoni .

    ReplyDelete
  3. bwahahahaha! hivi jamani twende mbele turudi nyuma huyu lemutuz ni nani? ni bongo movie msanii au...seriously naona kapewa airtime sana recently! babake ni Lowassa au sumaye?..manake ndo maprime ministers nnaowafahamu haki ya nani!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ngoja nikueleze.... baba yake ni Mheshimiwa John malacelela wazili mkuu wa zamani alikuwa ni kiungo safi sana cha mwalimu ni mtu mwenye heshima sana kipindi hicho mzee wmenyewe na watoto zake ni watu safi sana hasa dada yake anaitwa Nyange malecela, ni watu wa kuheshimika sana mimi nawajuwa familia yao vizuri sana sababu nina undani nao.. Ila huyu jamaa ni mtu mzima sana kapitia maisha amabayo watu wote wanapitia kama ni kuzamia au kuishi nje ya nchi ni jambo la kawaida saaanaa ila jamaa ni mshamba sana mambo yake na umri wake haviendani kabisaaa kujisifia kutwaa kwa umri wake alitakiwa awe mtu ameoa na watoto wakubwa amabao wangekuwa wanafanya better zaidi ya anavyo fanya yeye kwa sasa, lakini hili jamaa ni boya sana na ndio maana hakuna mwanamke anataka kuolewa nae ni mjinga mshamba na limbukeni na cha ajabu saana ni kuadi mkubwa kwa wanaume wenyewe pesa zao na ndio maana unaona anapewa airtime sanaaaa.. we ukimtaka mwanamke yoyote mzuri dar basi wasiliana nae, kwanza atakutangaza kwenye blog yake mpaka uchoke wewe na huyo demu utampata bila wasiwasi maana atakuitia yeye mwenyewe wewe huna haja ya kutongoza, na ukimkosa huyo demu juwa kuwa atakupa yeye mwenyewe starehe... shamba sana hili jamaaa

      Delete

Top Post Ad