Eti Kumbe Gari Alilozawadiwa Wema na Kadinda na Safari ya China Ndio Sababu ya Diamond Kuachana na Wema

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Gossip Cop wa nguvu, Soudy Brown leo kamuweka staa mwingine wa Bongofleva, Diamond Platnumz kwenye U Heard.
Kutokana na kwamba Diamond hakuwa tayari kuongelea chochote kuhusiana na kile Soudy alichokuwa anamuuliza, Gossip Cop alilazimika kuzima kifaa cha kurekodi sauti ili Diamond ampe story kamili.
Story ilikuwa inahusu Diamond na Wema kutokana na kile kinachosemekana wameachana, majibu ya Diamond yameonyesha hawako pamoja na kuzitaja baadhi ya sababu zilizopelekea kutokea hilo, ikiwa ni pamoja na zawadi ya gari aina ya BMW ambalo anadai Martin Kadinda hawezi kumpa, pamoja na safari za Wema China ambazo anadai kuna mtu mwingine aliyekuwa anazifadhili.
Diamond hajazungumza chochote kuhusu yeye na Zari the Boss Lady.
Kuisikiliza U Heard bonyeza play hapa. Credits:Millardayo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Top Post Ad