Kambi ya R-Kelly yamuita Alikiba ‘King of Tanzania’

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kambi ya muimbaji na mtunzi mahiri wa muziki wa R&B nchini Marekani, R.Kelly, imemuita Alikiba ‘King of Tanzania’.

Kambi hiyo inayojiita R.Kelly Media ambayo huendesha akaunti za mitandao ya kijamii yenye jina hilo, imepost picha ya Alikiba na R.Kelly kwenye Instagram zilizoandikiwa ‘King of Tanzania’ na ‘King of America’.

Hata hivyo, haijulikani kama akaunti hiyo iko chini ya R.Kelly mwenyewe au ni mashabiki wake tu wanaofanya promotion kwa mapenzi yao.

Mwaka 2010, R.Kelly aliandika na kutayarisha wimbo wa mradi wa Airtel One 8 na kushirikishwa wasanii mbalimbali wa Afrika wakiwemo Alikiba, Navio, 2Face Idibia, Fally Ipupa, Amani na wengine.

Wimbo uliitwa HANDS ACROSS THE WORLD.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Adm jifunze kutoa habari za uhakika,je kuna info zozote Ali kiba amepokea moja kwa moja kutoka kwa R kely or wasaidizi wake? tafuta confirmation ya habari kwanza ndipo utuletee...usituletee habari tata ukatuacha na question marks?????????????

    ReplyDelete

Top Post Ad