Sitta: Kilichomkuta Jaji Warioba Jana Amejitakia Mwenyewe

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samwel Sitta amesema kilichomkuta aliyekuwa Mwenyekiti wa tume ya mabadiliko ya Katiba jana ni sawa na kujitakia mwenyewe.

Akihojiwa muda mfupi uliopita na Redio Voice of Tabora kuhusu maoni yake kwa vurugu kubwa iliyoongozwa na Paul Makonda jana, Mzee Sitta amesema kimsingi wananchi walio wengi wanaunga mkono Katiba pendekezwa.

Mzee Sitta amesema Jaji Warioba anapaswa kutulia kwani akiendelea anaweza kuaibishwa kuliko aliyofanyiwa jana pale Ubungo blue pearl.

Mzee Sitta amemtaka Warioba awaachie wananchi Katiba pendekezwa waamue wenyewe kwa njia ya kura.Sitta ameendelea kusema watanzania wa sasa siyo wajinga na wakikuona unawadanganya watakuvamia hapohapo.Amedai uelewa wa wananchi kwa sasa ni mkubwa kuliko wakati mwingine wowote.

Alipoulizwa swali kuhusu Uvumi kwamba yeye ndiye anamfadhili na kumtuma Paul Makonda kupambana na yeyote anayempinga Mzee Sitta amecheka na kusema hatajibu hilo swali.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. wacha unafiki ww mzee sitta sabba sijui,katiba hatuitaki mmeipitisha kiusanii mkapigisha kura za ndio maiti,waloenda hijja na hadi kuwapigisha wajumbe wa bara kina zakia menghi kupiga kura za ndio za zanzibar ilimradi muipitishe kwa njia zozte zile za mizengwe,CCM siku zenu zinaisabika ipo siku mtangoka tu.mnatia kinyaaa aiseeee.....Mzee warioba pole sana vijana hawajui wakifanyacho hao,ipo siku watakukumbuka.

    ReplyDelete
  2. Wewe hapo juu wa 9:19 am ndiye mnafiki kwani umri wako ni sawa na akina chikamoo papaa sasa katiba unaijua vipi?Mijitu mingine kila ukiiona eti vidole viwili vya freemason juu,mtakufa na vijiba vya roho.
    Acheni watanzania waamue kwa kura katiba inayopendekezwa halafu ndio uone kama haitakiwi au inakubalika.

    ReplyDelete
  3. unaweza ukawa uko sahihi sana lakini ukafikia muda ukaonekana unaenda kinyume kwa sasa suala lililobaki ni kwetu sisi wananchi kupiga kura kuikubali au kuikataa katiba ambayo kwanza hata hatuifahamu kabisa mzee Warioba tulia jukumu lako ulishamaliza kitambo baba YETU.

    ReplyDelete
  4. hili babu hovyoooooooo, nilikuwa naliheshimu kumbe hamna kitu!!

    ReplyDelete
  5. Huyu mzee Warioba ana point. Lkn akiendelea na kiherehere si tu kwamba watamuumiza wahuni wa CCM bali watam'Kolimba' kabisa. Kukaa kimya ni silaha ambayo hajtaka kuitumia pamoja na kushauriwa kufanya hivyoo.

    ReplyDelete
  6. Kuna wasenge wa ccm humu mikundu inawapwita hovyoooo.

    ReplyDelete
  7. Nilikuwa namheshimu sitta ,ila kwa sasa ni sifuri tu. Almost zero kabisa

    ReplyDelete

Top Post Ad