'Nampa Mahaba Mazito Bob Junior Kiasi cha Kumfanya Asimkumbuke Mkewe' Sabby Angel

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ akipozi na 'Bob Junior' kimahaba.Akizungumza na mwanahabari wetu, Sabby alisema kuwa ameamua kuonyesha ufundi wake wote wa kimahabati kwa msanii huyo kwani ni mwanaume ambaye amemuona mwenye mapenzi ya dhati.
MSANII anayechipukia kwa kasi katika anga la filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amefunguka kuwa kwa kipindi kifupi ambacho amezama kwenye penzi la staa wa Bongo Fleva, Raheem Rummy Nanji ‘Bob Junior’, amempa mahaba mazito kiasi cha kumfanya asimkumbuke aliyekuwa mkewe. 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. we shetan 2 hata mkewe alimpa vivyo hivyo ndo maana akaamua kumuoa acha kelele huijui kesho

    ReplyDelete
  2. Karibu kwenye blog yetu Mpya wadau tupate burudika kwapamoja mapenzii.blogspot.com

    ReplyDelete
  3. Kuna tofauti kati ya mapenzi na ndoa. Ipo siku unajua tofauti yake

    ReplyDelete
  4. mme wa mtu jamani mabinti fungukeni wanaume wenye wake wanawarubuni tu utaishia kutoa ufundi mwisho wa siku anaenda kwa mkewe

    ReplyDelete

Top Post Ad