List Mpya Ya Matajiri 50 Afrika Watanzania Wako Wanne

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Dangote
Mtandao wa Forbes maarufu kwa kutoa taarifa kama hizi, umetoa list mpya ya matajiri 50 kutoka Africa na kuhusisha vyanzo vya pesa zao, umri wao pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki.

List imeongozwa na Mnigeria Aliko Dangote (kwenye picha hapo juu) na mtanzania wa kwanza ameonekana kwenye namba 27 akiwa na utajiri wa dola bilioni moja.
Watanzania hawa wanne ni Rostam Aziz kwenye namba 27, Reginald Mengi namba 34, Bakhresa namba 38 na Mohammed Dewji namba 38.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mtajiri wa bara hili ni michosho tu hawanamichango ya aina yoyote, kama kulipa kodi kihalali, bali ni uwongo uwongo tu wa kukwepa kodi, waendelee kutajilika, na kuwanyonya masikini, kutwa kupandisha bidha zao,kodi ni kufukuza na kina mama ntilie wao huko vitumbo juu, na hao wakusanya kodi ufisadi umejaa mpakaa kwa wizi

    ReplyDelete
  2. D I A M O N D P L A T N U M wetu yumooooo

    ReplyDelete
  3. Diamond si ajaribu angalau kumfikia Ay tu kwanza.... alafu kunaongelewa matajiri sio wenye hela ya kubadilishia mboga...

    ReplyDelete
  4. Minamkubali bhakressa tu kwa Tanzania ssababu mchango wake unaonekana katika jamii.na mengi hao wengine watajirike salama lakini they ar selfish

    ReplyDelete
  5. TUONYESHWE HIYO LIST USITUTAJIA NAMBA

    ReplyDelete
  6. Mbona list haionekani ?poster weka hiyo list...

    ReplyDelete
  7. kujua nani zaidi au nani mm hainihusu kwani kula kwangu wala wao hawachangii na nikilala njaa wala wao hawastuki sasa faida ipo wapi kuwajua matajiri wajisaidiao wenyewe? kheri huyo agawae pesa kipindi Fulani cha dini naye pia Mungu wake ndiye amjuaye na huyo amgawiaye akapata mkate wake walau wa cku hiyo. wengine tupa kule

    ReplyDelete

Top Post Ad