AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa anamshukuru Mungu kwani amenusurika kifo kwa ajali ya bodaboda.Akizungumza na paparazi wetu, Amanda alisema ajali hiyo ilitokea hivi karibuni maeneo ya Makonde-Mbezi Beach jijini Dar wakati alipokuwa akiwahi lokesheni.
“Nilirudisha gari nyumbani, nikachukua bodaboda ili iniwahishe lokesheni Posta, bodaboda alikuwa spidi likatokea lori la mchanga kwa mbele katika jitihada za kulikwepa ndipo tukatumbukia mtaroni.
“Nashukuru Mungu nilipata majeraha madogo usoni, hakuna aliyeamini kama tumenusurika, nilienda Hospitali ya Masana na kupewa huduma ya kwanza, nikatoka,” alisema Amanda.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK
We umesema huna mpango na mambo ya Mungu, leo unasema unashukuru Mungu umenusurika. Jamani angalieni maneno mnayoongea kwa sababu uhai wetu uko mikononi mwake.
ReplyDeleteKwenye ajali ndio unamkumbuka Mungu c ulisema starehe kwanza Mungu baadae wewe,haya ndio Mungu kakuonyesha kuwa anaweza kukuchukua anytime ukaacha hizo starehe.Badili kauli yako kwa Mungu.
ReplyDeleteungekufa tu shenzi wewe cterehe kwanza unamdhiaki aliekuumba wewe huna adabu kma sio yye ungekwepo mbwa wewe mi naona bora ungekufa bumbavuuu na huo ni mfanoo uwe makin na domo lako lioneeee!!!!!
ReplyDelete