Faiza Ally Afunguka, Amtupia Lawama ex Wake (Sugu), Asema Hamjali Mwanae

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana.


Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza.

“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”

Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona wakati wote unaomtaka, ukimpigia simu saa yoyote hata kama akiwa kazini, akiwa bungeni labda lazima akiona simu yako hata akiwa hawezi kupokea lazima aku-text kwamba nitakupigia nipo kwenye situation hii. Lakini inafika wakati nikimpigia hapokei na hata ukimtumia meseji anakujibu baada ya siku kadhaa. Kwahiyo mimi imefika wakati nimeona kwamba hajali kwa sababu haiwezekani ukae miezi miwili mitatu hujamuona mtoto na usimpigie simu hata kusikia sauti yake,” aliongeza.

Mwanzo nilikuwa nasema ndo kwakuwa tumeachana labda hataki kunisikia itamuumiza lakini sasa hivi ni mwaka. Sasa nimeona sio mtu mwenye kujali, kwa sababu kama unajali sidhani kama unaweza kukaa mwezi bila kusikia sauti ya mtoto wako au hujaulizia anaendeleaje. Basi ikafika wakati nikaona ngoja nibadilishe kila kitu kwaHiyo nikawa nimEblock Facebook, nikawa nimemblock WhatsApp nikawa nimesema na Sasha ngoja nimwandike jina jingine yaani ni katika kujisahaulisha tu huyo mtu hayupo katika maisha yake.”
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio maana ukavaa pumpers?????????????????

    ReplyDelete
  2. kwa hiyo ulivaa pumpers ili aone mapaja arudi au?

    ReplyDelete
  3. DADA ACHA KUTAFUTA KIKI HUVI SUGU ALIKUOKOTA WAPI?

    ReplyDelete

Top Post Ad