Mtandao wa Kuchepuka wa Zari the Lady Boss ni Kiboko Diamond ni wa 13

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Stori: Sifael Paul
Ingawa mwenyewe amekuwa akikanusha kila kukicha, mrembo tajiri mwenye maskani yake nchi jirani ya Uganda na Afrika Kusini, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady, anadaiwa kuwa na mtungo mrefu wa wanaume ambapo kama ni kweli anatoka na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ basi jamaa huyo atakuwa anashika nambari 13.

Kwa mujibu wa jarida la linalodili na habari za showbiz (biashara ya shoo) la E-Vibe la nchini Uganda la hivi karibuni, Zari ambaye wikiendi iliyopita alimng’arisha Diamond katika zulia jekundu kwenye Tuzo za Channel O (Choamva) zilizofanyika Johannesburg nchini Afrika Kusini ‘Sauz’, anadaiwa kuwa ‘klozi’ na idadi hiyo ndefu ya wanaume.

Jarida hilo lilieleza kwamba ndani ya kipindi cha miaka 14 baada ya kutimiza umri wa mtu mzima wa miaka 18, Zari mwenye umri wa miaka 32 sasa, ameshajiachia na wanaume wa kada mbalimbali wakiwemo vigogo serikalini, wafanyabiashara, mastaa wa tasnia mbalimbali na hata vijana wadogo.

MABUSU
Kabla ya Diamond, picha za Zari zilivuja akiwa anabusiana kwa hisia na mwanaume, Farouk Sempala anayesifika kwa dili za mjini. Mara nyingi, Zari amekuwa akishangaza watu na kuacha maswali kuwa nini huwa kinamsukuma kumzoea mwanaume haraka na kuingia naye kwenye urafiki?

Kwa mujibu wa jarida hilo, kuna mtandao maalum wa kundi la watu uliundwa kwa ajili ya kufuatilia nyenendo za Zari katika sekta ya mapenzi ndipo data zikamwagwa.

MUMEWE
Jarida hilo liliweka wazi baadhi ya wanaume walioko kwenye listi hiyo kuwa ni pamoja na mumewe, Ivan Semwanga ambaye alizaa naye watoto watatu kabla ya kumwagana mwaka jana bila talaka.

STAA WA KIKAPU
Mwingine anayetajwa kwenye listi hiyo ni Isaac Lugudde ambaye ni staa wa mpira wa kikapu nchini Uganda. Hata hivyo naye hakudumu naye.

MIKONONI MWA MTOTO WA MJINI 
Lilidai kwamba baada ya Zari kuondoka kwa mumewe Semwanga na  kumwacha na watoto nchini Afrika Kusini, mwanadada huyo aliangukia kwenye penzi la mtoto wa mjini nchini Uganda, Farouk Sempala ambaye aliposikia tetesi kuwa anatoka na Diamond ndipo akatangaza kuachana naye.

WENGINE
Wengine waliotajwa katika jarida hilo ni pamoja na Jenerali Jeje Odong, wasanii wa muziki, Mozed Radio na  Weasel. Katika listi hiyo ndefu pia wamo Aziz Azion, Isaiah, Robert Ogwal a.k.a Rasta Rob, Exodus, Dj Shiru, mfanyabiashara wa Nigeria na sasa ni zamu ya Diamond.

DIAMOND NA ZARI
Awali walianza kama utani ikisemekana kwamba kuna ‘projekti’ wanaifanya kwa kuwa wote ni mastaa wa Afrika Mashariki.

Hata hivyo, kwa kadiri siku zilivyosonga mambo yakazidi kuwa hadharani na sasa kila kitu kipo wazi na kwamba kama hujui kusoma, angalia picha wanavyojiachia kama baba na mama.
Wakiwa nchini Afrika Kusini wikiendi iliyopita, Zari anadaiwa kujitambulisha rasmi kwa mama Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ ambapo walikuwa beneti hadi watu wakawa wanamsifia Zari kwa kujua umuhimu wa mama mkwe na kumhudumia vizuri.

ZARI ANASEMAJE?
Kwa kuwa kila tukimuuliza Diamond ana uhusiano gani na Zari amekuwa akichenga, kwa upande wa mwanadada huyo amekuwa akichekacheka na kudai wapo kikazi zaidi huku akimsifia jamaa huyo kwenye mitandao ya kijamii.

TATIZO UMRI
Kwa mujibu wa makabrasha ya gazeti hili, Diamond ana umri wa miaka 25 wakati Zari ana miaka 32 hivyo amemzidi kwa miaka 7 hivyo kuonekana ‘anambemenda’ Mbongo Fleva huyo.

WATOTO
Mwanadada Zari ana watoto watatu aliozaa na mumewe, Semwanga huku Diamond akiwa hana hata wa kusingiziwa (kama yupo mwenye mtoto wa Diamond ajitokeze).

WEMA AMWITA DIAMOND KAKA
Tofauti na walivyozoea kuitana ‘Baby’, siku hizi upepo umebadilika kwani aliyekuwa mwandani wa Diamond, Wema Isaa Sepetu amekuwa akimwita jamaa huyo kaka, siku alipompongeza kwa ushindi huo na hivyo kuibua maswali ya kufa mtu.

WABONGO WATAKUNYIMA MSOSI SI MANENO
Wakizungumzia uhusiano wa Diamond na Zari, Wabongo waliozungumza na gazeti hili walionekana kugawanyika.


Wapo waliodai kuwa mwanamama huyo haendani na Diamond kwa kuwa umri umeenda lakini wapo wanamsifia jamaa huyo kwa kufanikiwa kumnasa Zari mwenye umbo bomba, mrembo ambaye fedha zimemtembelea.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mbona dai alivyokuwa na wema hamkuandika msururu wa wa wanaume wa wema? Au huyo mama ubaya kawalipa mumchafue zari? Wema katombwa na sheheni ya wanaume acha hao maarufu kuna wengine si maarufu. Acheni chuki zenu maanina

    ReplyDelete
  2. ILI KUBALANCE HII STORY SEMENI NA ZALI NI WA NGAPI KWA DIAMOND???

    ReplyDelete
  3. miye nauliza hivi kwani Zali ni wangapi kwa diamond???? naomba jibu tafadhali

    ReplyDelete
  4. Age ain't nothing but a number...Zari ni mrembo wa ukweli Wema Lori la magogo kwa Zari!!!

    ReplyDelete
  5. Bwana wa Zamani wa Zari anasema mwanamke huyu anapenda sana miti wala huwa hatoisheki. Angalia maojiano haya:

    TIT: Could you remember the number of babes that you have prayed Yoriyori with??

    LK4: Hell yes. They are now 452 with only four serious ones like I hinted before. Every cool guy like me has a history you know and you know with fame, man has only two options... its liquor, women or both. Numbers don’t matter but how you got over it all and ended with the right one.

    TIT: This may upset you but like you said every man has a history and for its sake we want to know what number was Zari?

    LK4: Dude, we had a deal that she would not come into the picture here, I am way past that.

    TIT: Since you are now with Cynthia we guess that Zari was number 451

    LK4: Bull, that ain’t right I think she was number 445 but the one who gave me and still gives a headache.

    TIT: And how was she in Bed?

    LK4: Dude, bitch knows how to play her game and she is wicked and wild. She’s a mixture between an Alien and zombie in bed. It takes a very fit man to get her fixed properly and this must be the reason why she is into playing games.

    TIT: This implies that you two still talk to each other?

    LK4: That woman ain’t easy and doesn’t give up easily. She’s been trying to get to me on phone and on what’s up on a South African number+2776899961 but I don’t pick her calls. To manage all this bullshit, I have had to give Cynthia all my pass words and the right to pick up any of the phone calls she might suspect. I have buried my beef with Ivan Ssemwanga and we now talk, he even says hello to my girl.

    TIT: Then what do you do if you bump into her around town?

    LK4: Dude, I will just walk past her. She is history and I am done with her, she even had the guts to invite me for her white party but boy I just threw the invites back to the guy who delivered them. However, a friend later picked them from the shocked delivery boy and must have put them to good use.

    ReplyDelete
  6. Tatizo la wabongo ni hapo tu wivu na majungu we angalia maisha yako achana na ya wengine life lenyewe gumu bado unafatilia nani anatembea na nani

    ReplyDelete
  7. MIYE SIJAJIBIWA SWALI LANGU ZARI NI WA NGAPI KWA DIAMOND??

    ReplyDelete
  8. zali ni mzuri sana mawivu ya watu tu hakuna lolote!! kwani diamoni naye mtuambie zari ni wangapi? kama diamond ni wa 13 je zari wa ngapi kwa diamond??

    ReplyDelete
  9. halafu hyu bwnake na zari anayosema ni maneno ya mkosaji kuna binadamu gani aliyependa mapenzi??? au yeye mvivu??
    hawezi mchezo nini!!???

    ReplyDelete

Top Post Ad