Profesa Tibaijuka Kufukuzwa Kazi..Rais Asema Atupe Nafasi , Prof Muhongo Awekwa Kiporo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Leo Rais Kikwete Akiwa anahutubia Wazee wa Dar es Salaam Amesema Kutokana na Sakata La IPTL Amemwambia Prof Anna Tibaijuka Awape Nafasi waweze kuchagua Mtu mwingine katika nafasi yake Serekalini kwa kukiuka maadili ya uongozi Baada ya kupokea Pesa nyingi kwenye account yake na kuzitumia huku akijua ni fedha zenye utata mkubwa..Awali Pro Tibaijuka alitangaza kwa waandishi wa habari kuwa hawezi kujiuzulu kwa swala hilo..

Pia Rais Amesema Kuhusu Profesa Muhongo Amemuweka kiporo ila ndani ya siku mbili hizi atatoa Maamuzi yake

Je una Maoni yoyote kuhusu Kauli hizo za Jakaya Kikwete?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anamlinda na anamwogopa kwa sababu kila alichokifanya Muhongo order imetoka kwake saa hebu fikiri atamfukuaza kivipi?

    ReplyDelete
  2. hawa ndio waribifu, wasiopenda maendeleo ya Taifa lao bali wamekalia tamaa tuu, ndi maana hata hatuendelei, tena yeye mwanamke, angeangalia wanawake wenzake huko wanakojifungulia hata vitanda hawana wamejazana, wana lala chini tu

    ReplyDelete
  3. Haya, alisema kujiuzulu sio fasheni kumbe kufukuzwa kazi ndio fasheni?bora mwanamke anaetafuta riziki kwa kuuza mwili wake kuliko
    Mwanamke huyu asiye na huruma hata kwa watoto wa mitaani,shame on you!

    ReplyDelete
  4. AIBUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!

    ReplyDelete
  5. ambo mengi hayaeleweki nchini kwetu isije ikawa katolewa kafara na watu waliohusika kisawaswa lakini ni watu wa raisi na wanajuana siri zao wameachwa!Tumesikiliza bunge kwa makini lakini mambo mengi hayakuelezwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad