Moshi Ndio Habari ya Mjini Week Hii..Jionee Umati wa Wasafiri Stand Kuu ya Mabasi ya Mikoani Ubungo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wiki hii ya Christmas Pale Ubungo stand kuu ya Mabasi ya kwenda Mikoani Hapatoshi, Wasafiri ni wengi kweli Hasa wa Kwenda Mkoa wa Moshi kama ilivyokuwa Kawaida ya Wachaga kipindi hiki cha sikukuu hukitumia kwenda kusalimia Ndugu na Jamaa Huko kwao ....Mbuta Nanga..Ruwa Mangi

----

Love Story ya NJIA PANDA,Ni Kali mnoo Jamani.

Kusikiliza au kusoma mwendelezo wake Tembelea www.makapedia.com kisha bofya palipoandikwa NJIA PANDA kila siku saa moja kamili jioni BURE au bofya HAPA

Pia Bofya HAPA kujiunga na what's app channel yetu,tukukumbushe kila siku.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Tatizo makabila mengine kwenu hamjajenga wengi sasa huendi utafikia wapi

    ReplyDelete
  2. chezea wee bongo moshi apakaliki bandali ya salamaaaa bora waende kwao kwanza tupumzike hahaha

    ReplyDelete
  3. Wewe unasema nini njoo bukoba uone magali ya kifahali ambayo haujawai ona kuna watu wanapenda kwao kama wahaya na majumba utafikili amerika

    ReplyDelete
  4. Wewe unasema nini njoo bukoba uone magali ya kifahali ambayo haujawai ona kuna watu wanapenda kwao kama wahaya na majumba utafikili amerika

    ReplyDelete
  5. Ni vema mtu kwenda kwao coz yawezekana ni sehemu ya mila zao, pia suala la kujenga ama kutojenga si issue tena coz tanzania ya leo ujenzi wa maana upo kila mahali. MERRY X-MASS EVERYONE.

    ReplyDelete
  6. kikubwa ni kukutana wana familia na kujuana sio watoto au wajukuu kuja kuoana bila kujuana

    ReplyDelete

Top Post Ad