Wanawake wengi sasa hizi wanabehave vibaya wakiwa kwenye ndoa. Kabla ya kuolewa wanaficha makucha lakina baada ya kuolewa tu ndo unawajua tabia zao haalisi. Maana sasa hivi kila sehemu wanaume wanalalamika tu juu ya wake zao, utasikia mke anatoka home aagi anaenda wapi, anarudi usiku, hapendi ndugu, hapendi husaidie ndugu zako, gold diggers. Wengine wanafika mahali pa kuamua kutoa talaka.
Wake wa zamani walikua wavumilivu sana na walijua kuishi na wanaume. Mwanamke anaekubali kuolewa kwa ndoa ya maana ya ndoa halisi ni lazima apoteze uhuru wake. Sasa unakuta mke wa mtu lakini uhuru anaokuanao mpaka unashangaa. Raha ya mke ni kua na mke ambaye ni submissive to husband kinyume na hapo ni kero tu ni sawa na kuishi na mwanaume mwenzio.
Katika kuishi kwangu nimekuja kugundua wanaume wengi wenye wake wanaobehave kama wanaume wananyumba ndogo submissive ambazo wanazicare sana. Wanaamua kuishi kwenye fake marriage na kua na mchepuko uliotulia. Wanawake tubadilike otherwise talaka hazitaisha, na baada ya kupata talaka wanaanza kuomba kurudi tena.
uliyoyasema nimeyapata na nimekuelewa
ReplyDeleteendelea kuchepuka kana kwamba huo mchepuko ndo malaika, jiulize kwa nini mke wangu anafanya anavyofanya? je umemuonyesha mapenzi au kazi unayofanya wewe ni kuchepuka tu? hata huyo unayechepuka nae kama husipobadilika na yeye iko siku atakua kama mwanaume mwenzio kama mke uliyenae sasa! cha msingi badilika na mkeo atabadilika jiulize umekua na wake wangapi kabla yangu??? na wote wako wapi? tafakari na uone wewe ndo mwenye shida big pretender why live in a fake marriage?
ReplyDeleteMakala yako umeiandika vizuri sana na ni somo tosha lakini hao wake wa zamani mpaka anaolewa huenda alitembea na wanaume watano leo hii mwanamke mpaka anaolewa wanaume mia mbili hapo unafikiria anaweza kujua thamani ya mwanaume kweli wakati kuna akiye mhonga gari kuna aliyempa laki kuna aliyempa cheni lazima awe na wenge kwenye ndoa ndio maana unasema wakiondoka wanataka kurudi kwani maisha waliyoyaona awali yalikuwa niya muda mfupi tu ukishatembea na wanaume wote hao lazima uwe na kauchizi fulani ambako kanatokana na misuguano mingi ambayo hutokea kwenye relation zilizopita ambako wengi hawakakubali
ReplyDelete