Wimbo Mpya wa Alikiba ‘Hela’ Wavuja, Usikilize Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku chache baada ya kuachia video yake ya wimbo wake ‘Mwana’, wimbo mpya wa Alikiba ‘Hela’ umevuja. Usikilize hapa Alafu Toa maoni yako: 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kawaida sana, huwezi kwenda international kwa nyimbo za namna hii

    ReplyDelete
  2. Kweli kabisa mdau wa kwanza,nyimbo kama hiyo ni kama ya mtu anaetaka kutoka bongo flava,kiba rudi kwenye nyimbo za mapenzi zenye mionjo ya kiafrica ,bongo flava ndani yake.

    ReplyDelete
  3. hamna kitu bado sana utaendelea kula madafu tu hapa bongo!

    ReplyDelete
  4. Wimbo mzuri sana una maudhui mazuri yenye kueleweka, big up Ali Kiba

    ReplyDelete
  5. Ukweli nyimbo yake inarudia makosa yale yale ya waimbaji wengine inamfumo wa kizulu zulu ukitaka kuwa wa kimataifa ni lazima ubadike sielewi vipi hapa Tz wanavyo tayarisha musiki yao lakini wezetu wanafatilia mpaka milio ya ndege na wanya wengine ili kuhakikisha kinachotegenezwa kinakuwa ni kibao cha wakati wake lakini haya mambo ya kizulu zulu na kizaire

    ReplyDelete

Top Post Ad