Alikiba Awajibu Wanaodai Video ya ‘Mwana’ ni Mbovu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Ali Kiba Katika Pozi
Hatimaye Alikiba ameamua kuwajibu baadhi ya wapenzi wa muziki walioikosoa video ya wimbo wa ‘Mwana’ wanaodai kuwa haiendani na kile kinachoimbwa.

Akizungumza na 255 ya XXL ndani ya Clouds FM, Alikiba amesema alichokifanya alimaanisha hivyo kuleta picha mpya kwenye vichwa vya watu.

Utofauti wa video ndio uzuri wake kwa sababu kila mtu kwenye mind yake amejenga video, ame-create video itakuwa vipi,” amesema. Kwa sababu nyimbo imeelezea vitu vingi ni pana kama unavyoona na ina vitu vingi madawa, ma-prostitute, ukabaji, wizi, vitu fulani vingi sana nisingeweza vyote kuweka katika video kwa sababu kila mtu anamind yake. Kwahiyo nilivyofanya utofauti nili-concetrate kwenye dancing na kucheza na feeling za kuimba. Video nyingi zimeshafanyika duniani sio ya kwangu tu, kwahiyo watu wasishangae vitendo havikuwepo nimemaanisha sio nimefanya ili tu nitoe video.

Ule utofauti uliokuwepo ndo uzuri wa video yenyewe. Professionals walifanya hiyo video kwa sababu ni production kubwa iko na watu ambao wali script vile vile kwahiyo tulishauriana na tuka appreciate kufanya hicho kitu. Dancing style inaitwa Kalila. Choreographer wangu ndio alifanya hiyo yote kila kitu.”
~Bongo5
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Achana na hiyo kampuni inazidi kukutokomeza gizani wewe mwana dar es salaam, video yako nikiangalia hata siimalizi nahisi nataka kutapika.

    ReplyDelete
  2. Umebugi Man...Tafuta kampuni nyenginw wakutengezeee video zenye kiwangu....Jamaa wamezidi kukushusha Man...

    ReplyDelete

Top Post Ad