AZAM TV Kutokuonyesha Fainali za AFCON Mnaboa, Hatuitaji Uchambuzi Bila Kuona Mpira

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Labda ni mimi tu ila kinachoendelea Azam Tv Kwenye Hizi fainali za AFCON kinaboa sana , yaani ile Chanel ya Azam 2 ambayo tulitegemea ituletee uhondo huo wa mpira haifanyi hivyo badala yake imeweka wachambuzi ambao wanaongea tu dakika tisini bila kuonyesha mpira wenyewe unaochezwa, kibaya zaidi kuna Kituo kimoja katika package ya Azam tv inayoitwa UBC siku mbili hizi Tatu zilikuwa zinaonyesha fainali hizo , leo ukiweka hiyo channel ya UBC inasema Channel Restricted ikiwa na maana wameizuia ili tusione mpira kwa maana tuendelee kuwaangalia tu wachambuzi wao wa Azam 2 bila kuona mpira....

Hivi kituo kikubwa cha michezo kama nyie kweli mmekosa leseni ya kuonyesha huo mpira??
Haingii akilini
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waliopewa kibali ni TBC pekee, Haiwezekani kila TV ionyeshwe.
    Kuweni waelewa

    ReplyDelete
  2. Waliopewa kibali ni TBC pekee, Haiwezekani kila TV ionyeshwe.
    Kuweni waelewa

    ReplyDelete

Top Post Ad