Jumbe Nne Alizozidondosha Wolper Zawaacha Watu Njia Panda Mtandaoni!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo na mwigizaji mwenye mvuto wa aina yake, Jackline Massawe “Wolper” toka jana amekuwa anaachia picha na jumbembalimbali  mtandaoni zenye maneno mazito  ambayo  yamepelekea wengi kuhisi labda kuna kitu kimemkuta mwandada huyu na sasa ameamua kupunguzia” stresi” zake mtandaoni, huku wengine wakamini kuwa hizi ni jumbe za kawaida tu na hakuna kinachomsibu.

 Mrembo huyu alianza na hizi jana;

“Your enemy can be your friend and your best friend can be your worst enemy**rising”

“A true friend never gets in your way unless you happen to be going down......”

Leo kaibuka na hizi;

“I don't regret the things I've done, I regret the things I didn't do when I had the chance...”

“There is only one thing makes a dream impossible to achieve the fear of failure.”

Wajuzi wa mambo ya kisaikolojia hebu mtusaidie hapa kunani? Kuna baadhi ya mashabiki wake wale "kindakindaki" wameniomba niilete hapa ili tuwasaidie wawe huru, kwani kwa sasa wapo……

Mzee wa Ubuyu Bongo Movies
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Is very simple huyo demu yuko kwenye majanga na pili na ambalo ni la muhimu kabisa ni kuwa yuko kwenye denial. Kimsingi huyu demu ameanza kujizeekea taratibu, umri unamtupa mkono sasa anabakia kutapatapa tu..........

    ReplyDelete

Top Post Ad