Breaking News: Siku Mbili Baada ya Prof. Muhongo Kujiuzulu Tume ya Ramani na Madini Duniani Yamteua Kuwa Mtendaji Mkuu wa Tume Hiyo

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Siku Mbili tu. Baada ya profesa Sospeter Muhongo kujihuzuru nafasi ya waziri wa nishati na madini hii JanaTume ya Ramani na Madini Miamba na Mawe Duniani yenye makao makuu nchini Uingereza imemteua profesa Muhongo kuwa mtendaji mkuu wa tume hiyo pia atafanya kazi kwenye kampuni inayopasua miamba diniani kama mwenyekiti.
~Source: William Malecela Blog
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hao bdiyo wazungu bwana, ........ooh wasipowajibika tunasitisha misaada........ wakiisha jiuzulu wanafaa sana kuajiliwa na taasisi za wazungu ????? !!!!!!! chezea zungu wewe

    ReplyDelete
  2. MMM YA KWELI HAYO???

    ReplyDelete
  3. Kizuri chajiuza

    ReplyDelete

Top Post Ad