Hakuna Mwanaume Rijali Anayeweza kuwa na Mwanamke Mmoja tu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Kwa wale nitakaowakwaza naomba mniwie radhi lakini kweli hata mimi hainipendezi kuyasema haya ila ni vema tu niwaeleze dada zangu kwasababu ukweli unaoumiza ni bora, kuliko uongo unaofurahisha.

Hakuna mwanaume riijali anayeweza kuwa na mwanamke mmoja, eidha awe ameoa au hata kama hajaoa. Hakuna mwanaume wa aina hiyo Karne hii, usijidanganye kukimbilia kwenye ndoa ukiamini kwamba baada ya kuolewa utajimilikisha huyo mwanaume aliyekuoa, never.

"Mchele mmoja mapishi mbalimbali", utakuta wewe mwanamke kila siku ukikutana na jamaa yako faragha lazima yeye ndio aombe kamchezo, wakati kuna sehemu akienda mwanamke mwenzako ndio anaandaa mazingira ya kuomba kamchezo kutoka kwa jamaa, now u see the difference.

Mara zote mkitoka lazima wewe ndio uwe ume suggest mtoke tena yeye ndio ana pay bills, wakati kuna mwanamke mwenzio some where ingawa sio mara zote, ila mara chache chache yeye ndio anamuomba jamaa watoke na ndio ana pay bills, umeona.

Humshauri jamaa hata kununua an asset, wewe ni kuvaa na kujirusha wkt kuna mwanamke mwenzako kashatafuta kiwanja kwa siri huku mkononi ana angalau robo amount ya gharama nzima ya kiwanja, upo hapo.

Kwa mliooana, mumeo karudi Home, hata kabla hujampokea ni makelele mtindo mmoja, unaleta mere allegations kwamba anakusaliti wakati hujathibitisha, yani wivu yako tu yanakuwehusha, wakati kuna mwanamke mwenzio jamaa akienda kwake anapokelewa kwa utulivu, anaenda kuogeshwa tena kwa maji yenye iliki, anakula chakula tena kile anachokipenda, anakandwa apunguze uchovu then anapumzishwa, unaona hapo.

Dada zangu yani hakuna mwanaume anayeweza kuwa na mwanamke mmoja sababu hawezi kuwa na vyote ambavyo wanaume tunavihitaji. Sisemi michepuko iendelee ila hiyo ndio hali halisi, angalau mjitahidi kuwa mnasoma alama za nyakati ili angalau apunguze michepuko ila sio aache kabisa.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. unasahau pia hakuna mwanamke rijali asiye na mchepuko sema ni wasiri sana kuliko wanaume. Wanaume wengi hawarizishi wanawake zao kwahiyo inalazimu kundinywa na varieties inje. Mlaji huliwa pia ha ha ha ha ha ha

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kula tano mkuu, wanaume wanafikiri wanawake hawatamani! 6 kwa 6 bogus anategemea nini na bado michepuko haishi lazima upate mkunaji na wewe.

      Delete
    2. Uko sahihi mdau

      Delete
  2. ni kwaeli michepuko ipo tangu zamani mbona mfalme daudi alikuwa na wanawake wengi sana na mfalme suleimani so haijalishi

    ReplyDelete
  3. Kumbuka pia ukiona mwanamke anakufanyia kila kitu bila kukupinga anakupa mchezo bila kujali chochote anakutoa aut na analipa bills yeye kiufupi anakuangaikia saaaaaan mchunguze kuna kitu 1 huwa si wakweli 2 haupo peke yako 3 anakuchuna tuu na hana mpango na wewe.
    MWANAMKE HASA ANAYEKUMPENDA ANAWIVU NA WEWE, na mengine mfundishe wewe.

    ReplyDelete
  4. Nimekupenda bure ano 7:58

    ReplyDelete
  5. kihalisia ukitembea na mume/mke/mtoto wa mtu lazima na wako nae aliwe haina pingamizi.

    ReplyDelete
  6. kwakweli hata mimi sijawahi kua na mtu ambae ana vyote nnavihitaji so kama kuchepuka ni kujiendekeza tuu. Manake ukitumia vigezo vya kua wanawake hawana kila unachohitaji mara nyingi wanaume ndo hawana vyote ambavyo mwanamke anahitaji ila tu hatukurupuki kujiachia kama nyinyi. Ndo mana wengi wanaojionaga mabishoo na wanajua sana wanaishia kupigiwa na wanaume waajabu ambao wanajua nini maana ya kukaa na mwanamke. kama uliyosema ni ya kweli, usithubutu kumwambia mkeo maana utamfanya nae akatafute hizo varieties unazoongelea. Afterall, women tunapenda ku-experiment by nature hasa vile vitu tunavyokatwazwa.

    ReplyDelete
  7. Xo hakuna mapenzi ya hisiaza dhati 4now

    ReplyDelete

Top Post Ad