Jokate Ajibu Mapigo ya Kukataa Kumzalia Diamond Mtoto Asema Diamond Hana Akili Timamu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Jokate Mwegelo aka  Kidoti
Staa wa urembo, muziki, filamu na ujasiriamali Bongo, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ au ‘Jojo’ amemrushia maneno makali aliyewahi kuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuwa hana akili timamu kufuatia maneno aliyotoa kuwa enzi za uhusiano wao, eti mwanadada huyo alikuwa akichenga kumzalia mtoto.

Jokate Ameliambia Gazeti Moja Maarufu Kuwa mwanaume mwenye Akili timamu awezi kuongelea mambo kama hayo ya mahusiano kwenye vyombo vya habari akitangaza kila mwanamke aliyekuwa naye alikataa kumzalia mtoto.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Waandishi na nyie ndo maana mnasababisha ugomvi kwa wasanii kila cku,,,,,,,,,tizama kauli alotumia na uangalie na ya kwako coz mwenzako kapunguza ukali wa maneno wewe ukaandika unachokijua wewe nyambafu wee!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. true tho ata kama jo hajasema ivo, mwanaume wakweli haongelei maX zake yaliyopita yamepita aisee saa yee kila swali anataka kujibu ndio anaharibu wacha dai ongelea music na kusaka hela haya mengine wee eka no comment tu aisee tunajionea wenyewe ila mara hii umepata dada mwenye uzazi wake haya tunahesabu miezi atutaki tirariraa apa!!

    ReplyDelete
  3. KWELI KIDOTI HATA MIYE NILISHANGAA MANENO YALE KAMA YANATOKA KWA MTU MWENYE AKILI TIMAMU!! HIVI KWELI KABISA MWANAUME MZIMA WA AKILI ANAWEZA KUIAMBIA KADAMNASI MANENO KAMA YALE?? HALAFU HUKUTE NDIO DOMO HANA RISASI KAZI KWELI KWELI !!!!!

    ReplyDelete
  4. yani nyie vidoti, mtu akishakuwa na hela anakugongenigongeni wote!!!! aise huyu diamond ni balaa!! anatumia uchawi nini? maanake kwa mademu aliowagonga mpaka wewe itakuwa ni hela tu!! maanake kimuonekano jamaa ni ziro!!

    ReplyDelete

Top Post Ad