Kwa nini Leo Zitto Kabwe Alitia Mgomo wa kwenda kusoma taarifa ya PAC Bungeni?????.....Majibu yote Yako hapa.

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati  wa  Vurugu  za  Asubuhi  leo  Bungeni, Spika  wa  Bunge  alimtaka  Mwenyekiti wa  PAC, Mh Zitto  Kabwe  aende   kusoma  taarifa  ya  kamati yake....

Kilichotokea  ni  kwamba, Zitto  alitia  mgomo, nikiwa  na  maana  kwamba  alipuuza  agizo  hilo  na  hakunyanyuka  kabisa.
 
Unajua  ni  kwa  nini? Zitto  Kabwe  mwenyewe  amekwisha  lijibu  hilo  swali  kupitia  ukurasa  wake  wa   Facebook.

"Kwa  nini  sikwenda  kusoma taarifa  ya  PAC leo  nilipoitwa  na  Spika? Jibu rahisi  kabisa, siwezi  kuona madhila na uvunjifu  mkubwa  wa  HAKI  za  binadamu  nikaendelea  na  mambo  kama  hakuna  kilichotokea.Kitendo  cha  polisi  kutumia  nguvu, kupiga  raia  hovyo  na  kumdhalilisha  kiongozi  wa CUF, Profesa  Ibrahim Lipumba  ni  kitendo  cha  kulaaniwa  kwa  nguvu  zote"- Zitto Kabwe
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tuko pamoja na nyie makamanda safi sanaaaana

    ReplyDelete
  2. Hivi hakuna makamu wa Mwenyekiti wa Kamati hakuna Katibu tusichezee ratiba

    ReplyDelete
  3. tupo pamoja zitto wewe jembe

    ReplyDelete

Top Post Ad