Lemutuz Afunguka 'Najua Kwamba Mabebez Wengi Mnapigwa na Mamen Wenu Kwasababu Yangu...Msikate Tamaa The Day is Coming'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Good Morning Instagram Nation happy new year my people at Office Kikazi zaidi live at the Farm "Camp Davis" le Arusha Moja.....Ok najua sana kwamba I am hated na Mamen wengi sana na.ninajua sana kwamba kuna wanaojaribu kila wakati kunitegeshea na mitego mingi ya kitoto kusudi waje waseme nilikuwa na mke wa mtu I know that I was not born jana U know......najua kwamba mabebezz wengi hapa mnapigwa na.Mamen wenu kwa sababu yangu najua kwamba Mabebez wengi hapa mnazuiwa kuwasiliana na mimi na Mamen wenu wasiojiamini.....well.na wale Mabebezz wote mnaoishi au kuwa kwenye Mapenzi kwa kujilazimisha kwa sababu mbalibali za.kimaisha.... najua I offer some relief hapa na my comments na zinawaudhi sana Mamen malimbukeni wa Mabebezz....

I pray that Mwaka huu mtajitahidi kuwachana na the gademu mburulazzz wanaowageuza watumwa badala ya mapenzi U know.....msikate tamaa the day is coming kila mbwa ana siku yake U know every dog has his day mtakuwa huru tu and for sure I love U all mabebezz na my Super Friends mapenzi hayatakiwi kuwa Vita kama vipi liwache mazafantazzz 
.......na kama Mamen wako lime cheat kumbuka my gademu deal na wewe Cheat back and then hakikisha limejua itakuwa balance ndio ulisamehe kama hataki liwachilie mbali mazafantazzz!! JAMANI ASUBUHI NJEMA SANA U KNOW!! - le Mutuz

Source: http://instagram.com/lemutuz_nation/
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hana lolote huyo lemutuz ni mpambe tu an atume ana Watu kumaliza noma zao kupotosha na kupumbaza wananchi. Pacho alivopigwa akatokea akasema kinachosemwa sio ukweli lakini asemi kilichotokea nini, bwana mdogo alipopigwa risasi nje Ya maisha club anasema sio ukweli lakini asemi ukweli ni upi watu wasikubali ujinga wake

    ReplyDelete
  2. Huyo mwanamke mwenzetu anaetoka na huyu mbulula pole zake,
    maana hana akili kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  3. Huyu lemutuz hayuko k-ibaba,kwa maana nyingine hakui kiakili kama wanaume wanavyotakiwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad