Lemutuz Akata Watu Vidomo Waliosema Anagombania Chupa ya Coca Wakati Hana Jina Kwenye Hati ya Nyumba, Angalia Hapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"Ok huwa sipendi maneno matupu napenda vitendo zaidi kuna mtu amenitumia ujumbe kwamba badala kugombea jina lako kuwa at Le Kopozzz pigania jina lako liwepo kwenye kumiliki HATI YA NYUMBA., namhakikishia aliyenitumia ule ujumbe kwamba HATI YANGU YA KUMILIKI SHAMBA LA EKA 5 NA NYUMBA hii hapa na huu ni mmoja wa urithi nitakaowaachia watoto wangu na bado naendelea kuchacharika na maisha kusudi ninunue hii apartment ninayoishi hapa downtwon na ile apartment yangu ya Changombe......sisi waKristo Bibilia inasema Baba mwenye busara huwachia watoto wake mali za urithi ndio maana nimekataa kuwa baba mwenye nguo ila baba mwenye majumba hahaha U know jamani USIKU MWEMA SANA LOVE U ALL! - le Mutuz
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wakikua wataacha! Mali zenyewe vijimali wenye mali wako kimya wanatambishiana vijimali!! Yaani full utoto mijitu mikubwa lakini mambo yao sasa ni balaa! Ovyooo!!!

    ReplyDelete
  2. Lemutuz hakika unayaweza as if ur under 18

    ReplyDelete
  3. Huyu bwana Ana miaka mingapi?

    ReplyDelete
  4. And you my dear need to go back to school and learn some Good English! Nyani haoni kundule

    ReplyDelete
  5. UNGEANDIKA KISWAHILI UNGEELEWEKA VIZURI KULIKO HII LUGHA YA WENYEWE,ngacheka thaana

    ReplyDelete
  6. Hujaeleweka,japo tunalazimisha kukuelewa.Hahahahahahahahahahhahahahah!

    ReplyDelete
  7. Huu jamaa utadhan Ni under 18!?,

    ReplyDelete
  8. Fool!!!! you are the one has never gone to school....because if you have ever visited any class then you should guess when someone is in hurry to write something....l wish you knew whom you are speaking with..ashhhh lock..go find the meaning of that word if you are intelligent person.....schwein.

    ReplyDelete

Top Post Ad