Lulu: Marlow Tumekukosea Nini? Wewe ni zaidi ya Wabana Pua au Majukumu ya Kifamilia?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mrembo na muigizaji wa filamu aliejijengea jina toka utotoni, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ambae kila mtu anajua kuwa huyu ni mshabiki mkubwa wa muziki na wanamuziki wa hapa bongo kwani mara kadhaa amekuwa akijitokeza na kuelezea hisia zake kuhusu nyimbo mbalimbali na wasanii mabilmabli kama Diamond, Ally kiba, Yamoto Band na wengine wengi.

Kwa mara nyingine tena leo kupitia mtandaoni ameonyesha hisia zake za kum-miss msanii  wa bongo Fleva ,Marlow ambae kwasasa ameoa na ana familia  ni moja kati ya wasanii waliotamba sana miaka mitatu minne iliyopita. Na hiki ndicho alicho kiandika;

"Kwani tulikukosea nini kaka!???mbona ukatuonjesha na kutuondolea burudani tena!???I believe ur talented tena sio kidogo, sio kwa kubana pua, sio kwa kusingiziwa pengine majukumu ya ki kazi au ya kifamilia yamebana. Lakini naamini u have something to offer the whole world....Rudi msaidiane kuendelea kupeleka mziki unapotakiwa kufika jmn...!
I'm a fan...a big fan unajua sana yani. Marlow Mkali"-Lulu alimaliza.

Hata mimi natamani sana jamaa arudi tena,Wewe je?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad