Mwanamke Awaua watoto wake wawili na Kuwazika ndani ya Nyumba Yake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanamke mmoja  mkazi wa mkoa wa Tabora wilaya ya Tabora mjini kata ya Chemchem amewaua watoto wake wawili  na kuwazika ndani ya nyumba yake.

Mwanamke  huyo  amedai  kuwa  kilichomfanya  awalishe  sumu  watoto  wake  ni ugumu  wa  maisha  uliokuwa  ukimkabili  baada  ya  kikimbiwa  na  mumewe.

Kwa  mujibu  wa  jirani  yake, siku  ya  tukio  mwanamke  huyo  alisikika  akichimba  shimbo  ndani  ya  nyumba  yake  kabla  ya  kutangaza  kupotelewa  na  watoto  wake  siku  ya  pili  yake.

Taarifa  ya  kupotea  kwa  watoto  hao   ilimpa  mashaka  jirani  huyo  na  kumlazimu  akatoe  taarifa  polisi  ambapo  maafande  walikuja  na  kufanya  msako  ndani  ya  nyumba  hiyo  ambapo  walifanikiwa  kufukua  maiti  za  watoto  hao.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani jamani watu haogopi mungu ??? kuna watu wanatafuta hawo watoto...pleaseeee angenipigia mie simu niwachukuwe asije kuwadai tena maishani mwake.

    ReplyDelete
  2. Mmh inamaa huyu mwanamke hana hata ndugu? Hajui km kuna vi2o vya msaada? Kumbe na majirani wapo karibu na hapo kwake mie ninahic sio watoto wake

    ReplyDelete
  3. Alipatwa na msongo. nao wakina baba au wanaume wamezidi, mno wao kazi kudai wana watoto, au watoto wangu, mtoto akikuwa na akiwa na uwezo ndio kabisa asiseme, yeye ndio baba, lakini majukumu ya kulea, wanawachia wakina mama pekee yao. hasa hizi nchi zetu, wanawake wanangaika sana na watoto

    ReplyDelete

Top Post Ad